Dalili za kuchokwa na mpenzi wako

rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
14,016
18,467
DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:

1. Hupigiwi simu hadi umpigie,

2. Hutumiwi sms hadi umtumie.

3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi.

4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize wakati mwingine hapokei pia anaweza kuikata simu yako.

5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo ukipiga tena unakuta inatumika.

Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma.Kwa hiyo mwaka 2016 uwe ni mwaka wenye malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayohakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko akupendavyo mtu mwingine.

Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze nukia vizuri then enjoy your life. Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo
wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama huyo.

We bado mdogo mrembo mno kama huamininnenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwakwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa
mwenye furaha tena.

Acha kabisa kujilazimisha kwa mtu asiekujali wala kukufikiria usiwe mtumwa wa mapenzi,
hakuna kitabu kilichoandika kuwa utakufa usipokuwa na mpenzi, jifikirie wewe kwanza
jipende wewe Nmtangulize Muumba wako kwa kila ufanyalo na mengine yatafuata.
 
Safi umeniwahi kidogo tuu ningeweka mimi ili bandiko 1-5 vimenitokea na iyo soln ndo nimeapply life goes on smoothly
 
Love yourself,follow what God wants,purify your soul. Life is so good,you better believe me.
 
N
DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:

1. Hupigiwi simu hadi umpigie,
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi.
4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize wakati mwingine hapokei pia anaweza kuikata simu yako.
5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka
kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo
ukipiga tena unakuta inatumika.

Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi
hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma...
Kwa hiyo mwaka 2016 uwe ni mwaka wenye
malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayo
hakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko
akupendavyo mtu mwingine.
Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa
bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze
nukia vizuri then enjoy your life.
Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo
wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama
huyo.
We bado mdogo mrembo mno kama huamini
nenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza
maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa
mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwa
kwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa
mwenye furaha tena.
Acha kabisa kujilazimisha kwa mtu asiekujali
wala kukufikiria usiwe mtumwa wa mapenzi,
hakuna kitabu kilichoandika kuwa utakufa
usipokuwa na mpenzi.... jifikirie wewe kwanza
jipende wewe Nmtangulize Muumba wako kwa
kila ufanyalo na mengine yatafuata.
Tatizo wanawake mmekuwa wengi sana sasa mim nina mademu sita na wote nataka kuongea nao usiku lazima nikuambie nataka kulala kumbe naanza kuongea na rebeka nikimaliza rebeka naye namdanganya nataka kulala kumbe naanza kuongea na ashura hivyo hivyo ndiyo maisha yanaenda
Pia hapo umedanganya kuwa wanaume ni wengi sana na wanawake ni wengi sana ni uongo ukweli ni kwamba wanaume tuko wachache wakati wanawake mko wengi sana na ili muwe na furaha lazima mwanaume mmoja amiliki wanawake watatu au wawili kutegemea na kipato chake
 
DALILI ZA KUCHOKWA NA MPENZI WAKO:

1. Hupigiwi simu hadi umpigie,
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3. Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi.
4. Ukimpigia simu anakwambia yupo bize wakati mwingine hapokei pia anaweza kuikata simu yako.
5. Ukimpigia simu usiku anakwambia anataka
kulala au simu haina chaji, lakini ukikaa kidogo
ukipiga tena unakuta inatumika.

Mwanaume au mwanamke mwenye tabia hizi
hafai kuwa mpenzi wako mkimbie kama ukoma...
Kwa hiyo mwaka 2016 uwe ni mwaka wenye
malengo mitazamo mipya na kufanikisha utakayo
hakikisha unajipenda kwanza mwenyewe kuliko
akupendavyo mtu mwingine.
Fanya kazi kwa bidii kama uko shule soma kwa
bidii ukiwa na malengo, Be smart, vaa upendeze
nukia vizuri then enjoy your life.
Kumbuka kuwa wanaume au wanawake wapo
wengi sana so asikupasue kichwa mtu kama
huyo.
We bado mdogo mrembo mno kama huamini
nenda kwenye kioo jitizame kisha tabasam anza
maisha mapya, kama ni mkaka lazima utakuwa
mtanashati na mwenye malengo yupo aliezaliwa
kwa ajili yako ipo siku mtakutana na utakuwa
mwenye furaha tena.
Acha kabisa kujilazimisha kwa mtu asiekujali
wala kukufikiria usiwe mtumwa wa mapenzi,
hakuna kitabu kilichoandika kuwa utakufa
usipokuwa na mpenzi.... jifikirie wewe kwanza
jipende wewe Nmtangulize Muumba wako kwa
kila ufanyalo na mengine yatafuata.
umeandika kwa uchungu
 
sometimes nafanya vyote hivyo nikiwa kwenye bad mood..Haimaanishi kuwa simpendi mama watt
Hatukatai kunakuwaga na rough days, ila ukiwa na rough day ndo uniignore totally? Me ntaota kama una bad mood? Unaweza sema mama leo kichwa kinanisumbua, sipo fresh ( kama hutaki kumwambia kinachokusumbua). Bila hivyo me hata sikuelewi
 
Tangu january mpaka june yuko na baddays wa kazi gani sasa
 
Ukijakata kimya kimya utaenda kwa nani ambaye anakula mbogaa moja kilmila siku hutaki kukata tamaa Bali unatakiwa uongezee mautundu na juhudi ili uwafunike wengine
Ingekuwa huo unaouita utundu ndio sababu ya kuwatuliza kusingekua na vilio vya mapenzi
 
Hatukatai kunakuwaga na rough days, ila ukiwa na rough day ndo uniignore totally? Me ntaota kama una bad mood? Unaweza sema mama leo kichwa kinanisumbua, sipo fresh ( kama hutaki kumwambia kinachokusumbua). Bila hivyo me hata sikuelewi
Sikuignore totally Douta..Nikiwa off mood nakuwa mzito kuinitiate maongezi..Ukinitumia msg au kupiga simu ntakujibu ila ntatafuta njia ya kufupisha maongezi ambayo haitakufanya ujisikie vibaya
 
Back
Top Bottom