Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Am 29 years old with honest and bachelor degree+ CPA am working in a good company as Financial Accountant in really am looking a commitment girly who will show commitment to me and create a...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
That Dej Loaf looking more and more delectable every time I see her in a video.....
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Dah natamani mbadilike dada zangu! Mnaombaomba sana na kwakweli japo hamtasema ila hii tabia imewagharimu wengi wenu. Kutwa kuacha kutuma sms za kuombaomba! Fanyeni kazi na muache kuombaomba ili...
4 Reactions
166 Replies
17K Views
Huwa najiuliza hivi ni haki kumwonyesha mke salary slip na kujua mshahara wako? Mwenye maoni tafadhali anakaribishwa.
0 Reactions
40 Replies
5K Views
MOJA NI BORA KULIKO SIFURI Watu wengi wamekuwa wakiweka mipango mizuri na mikubwa sana kwenye maisha yao. Ila katika utekelezaji hujikuta wanakwama. Chanzo kikubwa cha kukwama huwa ni kutaka...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
I salute you my brothers& sisters, Mahusiano ninayoyaongelea hapa ni yale ambayo mmoja anasoma vyuo vya elimu ya juu na mwingine yupo na maisha mtaani.Mwenza anakaa Hostel/chuo, pia sio mahusiano...
5 Reactions
83 Replies
9K Views
Kwanza kabisa harakati za maisha zinaendaje wakuu, Kilicho nifanya nije apa mbele yenu kuomba ushauri ni kuwa, juzijuzi tu baada ya kuachana na mschana wangu ikanibidi nitafute wa kupotezea mda...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Wana MMU Salaamu, Me nimeoa miaka 18 iliyopita, kwenye hii mitandao ya kijamii nilibahatika kukutana na binti mmoja mwaka 2008. Wakati huo alikuwa kidato cha 6. Hapahapa Dar. Kama ilivyo...
19 Reactions
177 Replies
20K Views
Habari wana mmu! nimekuwa kwenye mahusiani na binti mmoja takribani miaka 3 tulianza mahusiano kipindi tukiwa chuo kiukweli tulipendana sana na kupeana support ya kimaisha kwani familia zetu zina...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimekuwa na mahusiano kwa muda miaka minne sasa, ingawa tulikuwa tugombana kipindi kirefu tukawa hatuna mawasiliano, then tukarudiana tena na kuendeleza pale tulipoishia. Kwa uelewa...
1 Reactions
120 Replies
19K Views
  • Poll Poll
Wanajamvi Salaam; Kuna thread niliweka hapa mapema leo,nikishauri tuunde uongozi kati yetu wanajamvi kwa ajili ya kusahihishana sisi kwa sisi. Mods watabaki na kazi zao wala hatutaingiliana. Piga...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI. Kuna vitu Vingine tuwe waangalifu jamani huwezi kukaa na mtoto wa watu miaka zaidi ya mitano umemtoa mimba zaidi ya 2 leo kakosea tu kidogo umefura humtaki tena...
12 Reactions
75 Replies
11K Views
Wana MMU Salaam, Hapa jukwaani kwa siku za karibuni na tunakoelekea, jukwaa linakosa/litakosa ule msingi hasa wa uwepo wake. Ni ukweli usiopingika kuwa,hili ni jukwaa huru kwa maana ya...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa snapchat drop username tukutane tubadili mawazo,tu socialize tnx...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanaume halisi kamwe hawezi kumuumiza mwanamke. Kuwa mwangalifu pindi unapomliza mwanamke. Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake.Mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume. Si kwenye miguu yake ili...
1 Reactions
74 Replies
9K Views
Salaam! Najivunia kuwa mwanaume, najivunia kila kitu chema nilichonacho. Lakini mimi ni nani ikiwa kuna mtu mwema aliyekubali kunibeba tumboni mwake mpaka nikawa mtu! Kwanini basi nisimwambie...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Wadau amani iwe kwenu Mke wangu amekua mama wa nyumbani kwa muda mrefu, hivyo majukumu yote yakawa yangu peke yangu, ikiwemo, kodi ya nyumba wakati huo tumepanga, ada za shule, bills mbambali...
1 Reactions
96 Replies
9K Views
Habari, Mimi ni msichana 22 years. Kazini kwangu kuna likaka linajipendekeza kwangu sana. Sijui hata number yangu alimpa nani. Ohoo nakupenda, nikamwambia si una mke wewe, akasema hana wakati ni...
1 Reactions
141 Replies
17K Views
Natafuta marafiki wa kike umri uwe miaka 30 -48 sitaki taabu ya kumsumbua na mtu mengi yatafuata
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KAMA UNA WALAU ROBO YA HIZI SIFA BASI UMEPOTEZA THAMANI YA UTU WAKO 1. Unaisoma hii status ukaipenda. Ukaenda kuibandika kwako bila kutaja mahali ulipoiiba. 2. Unaye mwanamke mzuri, aidha ni...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom