Wadau nawasalim,
Ninahitaji ushauri wenu ama nimsamehe wife au la kutokana na kitendo chake cha kuikimbia nyumba na kwenda kuishi kanisani
Ipo hivi;
Mwaka 2012 mke wangu alianza kuhudhuria...
Najua wote mko poa kabisa, tokea mwezi uliopita kuna vitu vinatokea kwa mke wangu sivielewi kabisa. Kabla ya hapo tulikua tunachangia gharama za nyumbani 65%/35%.
Lakini cha ajabu tokea mwezi...
Asaalam wapendwa.
Hii kitu ni muda nakutananayo ila kwa hili la rafiki yangu nimeona nililete hapa tutafakari pamoja kwa maana nimefikiria sijapata jibu.
Nina rafiki yangu kafunga ndoa kama...
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri,anafikiria kuvuta jiko mwishoni mwa mwaka huu!ana wasichana wawili ambao ana mahusiano nao ya kimapenzi,wa kwanza sio mrembo ila ni bright sana kichwani,mpaka...
Greetings everyone.
Today I would like to share my 4 year experience I dated a lady who worked as fashion model in Arusha and leter became Miss Tz Top Model. Now she is a college student in...
Habari JF!
Kwanza kabisa heshima iwe kwenu! Mimi nimekuwa ni mtu wa kuumizwa sana na mapenzi! Kila mtu nae kuwa nae mara nyingi huwa najikuta nimempenda sana sana! Halafu mwisho wa siku huishia...
Habari za kitandani wadau wa mmu!,
bwana, mimi nikipenda huwa napenda kweli! sio kama ccm zenji zisipotosha kura zinatoshelezwa! Pasco karibu hapa,
nimemsomesha binti nilie/ninae/ mpenda! sijui...
Nimewahi kuona binti wa kiswahili 'mtanzania'akiwa ameolewa na mwanaume wa Kihindi mwanaume wa kizungu akioa mwanamke wa Kiswahili, mwanaume wa Kiswahili akioa mwanamke wa Kizungu nk.lakini...
Habari za mchana wana JF,
Nakuja tena kuwapa kinachoendelea juu ya mkasa wangu huu wa Mke wangu amekiri anajichua, ndoa yetu hatarini
Kwanza nashukuru kwa mawazo mazuri mlionipa japo wengine...
Habari Wakuu!
Eti ni kweli mwanaume kumtongoza mwanamke au kutongozwa mida ya asubuhi ni laana?
Ni kweli kwenye kutongoza kuna time limit?
Wajuvi wa mambo hebu tusaidiane jamani.
CHAGUA JAMBO MOJA ILI USIPOTEZE MUDA NA KUFANYA KITU KIMOJA KWA UFANISI ZAIDI
Kama unataka kujua watu wanaopoteza muda kwenye maisha yao, wakidhani ya kwamba wanaokoa muda, ni watu ambao wanataka...
Kabla hujamwoa Ester alikuwa na mahusiano na Benard ambaye wanafanyakazi ofisi moja,we ulipofika mjini kutokea mkoani ukatangaza ndoa na Ester,kwa kuwa Benard alikuwa ni hawara tu na mwenye...
Wandugu ebu munipe njia nimtie moyo huyu rafiki yangu hajitambui wala hana raha kabisaa.
Rafiki yangu huyu alichumbia mchumba tangu huyo mchumba akiwa form five, sasa huyo mchumba anasoma masomo...
Binaadamu wanaweza kusema lolote pale unapochukua maamuzi fulani kwenye maisha yako.
Lakini kama unahisi hiko ndio UNACHOKITAKA na uko sahihi USIYUMBE, hata siku moja usifate mtu kasema nini...
Morning JF,
Mimi ni binti natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzazi anavyomfariji mwanae pia ambaye atanipenda kama...
Morning jf,
Mimi ni bint natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzazi anavomfariji mwanae pia ambaye atanipenda kama mzazi...
Reajea heading hapo juu... Ni dem fulani hivi wa mjini nilikuwa na appointment naye sehemu...baada ya kukutana kwenye date ya kwanza na baada ya kupiga stori mbili tatu hivi mwanaume nikajikaza...
Angalia herufi ya jina lako ili ujue tabia yako hapo.....
A..Mtundu chumbani
B..Mtembezi
C..Mcheshi
D..Mwongo sana
E..Mgonvi
F..Mtanashati
G..Anapenda mapenzi
H..Mchapa kazi
I..Mgumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.