Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,377
- 10,641
Nimetazama tu, hasa wanaojicommit kuoa mke mmoja wengi hutafuta nyumba ndogo. Utakuta mtu kaoa mke mreeembo na mtulivu lakini bado tu atachepuka.
Mwingine utakuta ni mtu wa dini kabisa, na upako full ila uzalendo utamshinda na anachepuka.
Ukiangalia tu, tangu enzi za agano la kale, na jamii za awali za waafrika, babu zetu walipimwa uanaume wao kwa kuwa na wake wengi.
Sijui hii mila ya kupimiwa mke mmoja nani kaileta. Na nyie kina dada punguzeni mitego aisee.

Last edited by a moderator: