TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
Ni mfano tu.
Wewe umeoa mke ambaye alishawahi kuzaa na jamaa,na huyo mtoto unakaa naye hapo kwako,bahati mbaya mtoto akaumwa homa serious kidogo ikabidi baba yake aje ili wasaidiane kuuguza,naye hana ndugu pande hizo.
Je utampokea?na asubuhi we yakupasa uende kutafuta riziki je utamwacha naye hapo home?
Nisaidieni kudadavua.