MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Najua wote mko poa kabisa, tokea mwezi uliopita kuna vitu vinatokea kwa mke wangu sivielewi kabisa. Kabla ya hapo tulikua tunachangia gharama za nyumbani 65%/35%.
Lakini cha ajabu tokea mwezi uliopita mimi nmetoa asilimia 100 lakini mwenzangu hajatoa kabisa na sasa tumeingia mwezi wa pili na cha ajabu kila siku namuona anaenda kazini na nikijaribu kuangalia vizuri naona kama anataka aniombe na vocha lakini anaogopa.
Najaribu kujiuliza au kuna jamaa somewhere anatumia mshahara wa wife, au ndo kubana matumizi yenyewe, au nitumbue jipu nimwambie kama hawezi kuchangia gharama basi amwambie mdogo wake tunayemsomesha aache shule tumtafutie kibarua

Last edited by a moderator: