jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,725
Reajea heading hapo juu... Ni dem fulani hivi wa mjini nilikuwa na appointment naye sehemu...baada ya kukutana kwenye date ya kwanza na baada ya kupiga stori mbili tatu hivi mwanaume nikajikaza nikamtongoza... na nikambembeleza akakubali siku hiyo hiyo.... sasa cha ajabu jioni yake hiyohiyo dem akaniomba sh elf 15 akanaimbia ana tatizo nayo,basi mwanaume nikafikiria nimtumie au nisimtumie? nikajua labda ni mtego anataka kujua naweza majukumu ya kuhudumia au lah basi ikabidi tu nimtumie lakini roho iliniuma siku ya kwanza tu baada ya kumtongoza natuma hela...nikapanga kwa kuwa kashakula elfu 15 yangu nifanye mpango wa kutoka nae baada ya wiki moja na mimi nikaile "elfu 15 zake"....Cha ajabu hata hiyo wiki moja niliyomuwekea mtego wa panya haijafika (siku ya nne) dem ananiomba elfu 15 nyingine ya kwenda kusuka...Mamaaa nikajua sasa nimepata TanzaniteDigger... nikajitetea kiuongo na kweli pale kwamba majukumu yamezidi basi dem akanielewa kimtindo ikabidi niutegue mwenyewe ule mtego nisimwite wala nini...dem anaonekana sasa kapata wa kumpiga vizinge mpaka sasa nimempunguzia spidi yy bado hajasanuka hapa najiuliza nisex nae mara moja kila mtu achukue 50 zake au niachane nae kimya kimya huyu mtoto wa mjini? Kiukweli kaperform below expectations hata interval za kupiga viznga bado hajui vizuri.