Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,199
Angalia herufi ya jina lako ili ujue tabia yako hapo.....
A..Mtundu chumbani
B..Mtembezi
C..Mcheshi
D..Mwongo sana
E..Mgonvi
F..Mtanashati
G..Anapenda mapenzi
H..Mchapa kazi
I..Mgumu kuelewa
J..Mwerevu
K..Mbishi
L..Anapenda kujua vitu
M..Mvumilivu
N..Kicheche
O ..Mtulivu
P..Mjanja
Q..Mvivu
R..Mcha mungu
S..Akipenda amependa kweli
T..Anajua kunyenyekea
U..Msafi
V..Anapenda starehe
W..Hodari
X..Msaliti
Y..Anavituko
Z..Wamwisho kwenye kila kitu.
A..Mtundu chumbani
B..Mtembezi
C..Mcheshi
D..Mwongo sana
E..Mgonvi
F..Mtanashati
G..Anapenda mapenzi
H..Mchapa kazi
I..Mgumu kuelewa
J..Mwerevu
K..Mbishi
L..Anapenda kujua vitu
M..Mvumilivu
N..Kicheche
O ..Mtulivu
P..Mjanja
Q..Mvivu
R..Mcha mungu
S..Akipenda amependa kweli
T..Anajua kunyenyekea
U..Msafi
V..Anapenda starehe
W..Hodari
X..Msaliti
Y..Anavituko
Z..Wamwisho kwenye kila kitu.