Habari JF!
Kwanza kabisa heshima iwe kwenu! Mimi nimekuwa ni mtu wa kuumizwa sana na mapenzi! Kila mtu nae kuwa nae mara nyingi huwa najikuta nimempenda sana sana! Halafu mwisho wa siku huishia kuniumiza
Huwa najitahidi sana kumfanyia kila kitu kizuri anacho paswa kufanyiwa lakini mwisho wa siku huishia kuniumiza!
Sasa nimechoka kuishi maisha ya kuwa na mawazo mda wote,maisha ya kukosa furaha mda wote!
Nimejitokeza hapa kwa nia njema na kwa dada mwenye nia njema Ani PM namba ake mimi nitamtafuta
Nacho taka ni aje awe mfariji wangu, ambae atanisahurisha machungu yote na wknd awe teyari kutoka na mimi.....kifupi yule ambae nitaenjoy nae!
Umri asiwe zaidi ya miaka 25 wala chini ya miaka 18!
Awe tayari kuja chuoni kwangu sababu mimi ni mwanafunzi nipo chuo nasomea moja ya kozi za Afya chuo Fulani hapa Dar! Na mwakani nategemea kumaliza na kuingia kazini! Kwa sasa nipo Mazoezini katika hospital Moja kubwa tu yenye jina hapa Mjini Ukija PM nitakwambia yote
Nimechokwa kuumizwa kila siku sasa nasema inatosha! Ni heri niwe na mtu ambae nitakula nae bata na kusahau machungu yote
Kama na wewe pia ni dada ulie tendwa unaeza kuni PM ILI tufarijiane!
Mimi ni mrefu wa wastani sio mfupi wala sio mrefu sana nipo katikati,ni maji ya kunde,sio mnene sana (bonge) wala sio mwembamba sanaa!
Kikubwa msichana atae kuwa tayari ani Pm tutaongea mengi.....plz nisaidieni na mimi niishi maisha ya Furaha sina kasoro yoyote ile kubwa ni mtu wa kawaida tuu na mwenye heshima zangu katika jamii!