Msafiri007
Senior Member
- Jan 26, 2016
- 149
- 81
Asaalam wapendwa.
Hii kitu ni muda nakutananayo ila kwa hili la rafiki yangu nimeona nililete hapa tutafakari pamoja kwa maana nimefikiria sijapata jibu.
Nina rafiki yangu kafunga ndoa kama miaka mitatu iliyopita na wanapendana sana na mke wake, lakini jamaa ni kiwembe balaa sketi isipite mbele yake anayo.
Sasa kinachonisgangaza ni hiki hapa kwa hawa dada zangu ambao wanajua kuwa huyu ni mume wafulan na unadiriki kutembea nae sababu hasa nini hapo, huyu jamaa yangu yaani mtaani anapoishi anavibinti vitatu anatembea navyo na vinamjua mkewa mshikaji kabisa. ukija ofisini wapo wawili ajabu wanaoneana wivi if kwamba labda kuna ambaye ataolewa, wakati wanaomgombea ana mke na ndoa ni ya kanisani.
Sasa kingine jamaa hata usafiri hana kazi yenyewe mshahara ni wa kawaida sasa nashindwa kuelewa hawa mabinti wanazenguka na nini kwa mshkaji?