Sijawahi kuona

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Nimewahi kuona binti wa kiswahili 'mtanzania'akiwa ameolewa na mwanaume wa Kihindi mwanaume wa kizungu akioa mwanamke wa Kiswahili, mwanaume wa Kiswahili akioa mwanamke wa Kizungu nk.lakini sijawahi kuona dada wa kihindi kaolewa na mswahili, kwanini ?
 
Wanawake wa kihindi hawawezi kuolewa na wanaume wa kiswahili kwa sababu hawawezi kuhimili miki miki ya kunako sita kwa sita... Washazoea kuelekeza...
 
nahis japo sijui sana, wanawake wa Kihindi ndo wanaotoa mahari pindi waolewapo.

so sijaona mwanaume wa kiswahili atayekubali kutolewa mahari.

I stand corrected.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom