Kumtongoza mwanamke asubuhi ni laana?

EMMYGUY

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
11,094
25,336
Habari Wakuu!

Eti ni kweli mwanaume kumtongoza mwanamke au kutongozwa mida ya asubuhi ni laana?

Ni kweli kwenye kutongoza kuna time limit?

Wajuvi wa mambo hebu tusaidiane jamani.
 
Hakuna muda ila asubuhi mtu unaamka na mambo mengi kichwani afu ukutane na tongozo....huko ni kuharibiana siku, mbaya zaidi tongozo lenyewe ni "dada siku nyingi nakupenda ila naogopa kukuambia '
Ila Mtu Kama hajatongozwa kitambo, lazima afurahi, ataona Mungu kabariki asubuhi yake.
Hahahahaaaaa...... nimecheka sana kwa majibu haya.
 
Hakuna muda ila asubuhi mtu unaamka na mambo mengi kichwani afu ukutane na tongozo....huko ni kuharibiana siku, mbaya zaidi tongozo lenyewe ni "dada siku nyingi nakupenda ila naogopa kukuambia '
Tongozo la aina hii bila shaka ni la kaka mchunga ng'ombe...
 
mi kweli unalaana kwa sababu asubuhi ni mda wa kazi .. mtongozo unatakiwa kuanzia saa nane mchana
Mtongozaji atakuwa kakosea trick...inatakiwa aanze kurusha kama vi laki viwili kwa M-pesa hio asubuhi ndio aullize jibu tuone kama utaiona siku mbaya!
 
Jamaa anarusha kete afu anamalizia "sasa jibu langu vipi"
Mmh labda wapo watakaofurahi
Wengi tu nakwambia watafurahi,!watu wanashinda maombi kwa Lwakatale mala kwa Mzee wa upako mladi tu wapate mtongozo...!
 
Jioni jioni ndio vizuri hata sumu unazipangilia vema halafu na unayemtongoza labda nae ameshavurugwa na kijamaa chake! Hvyo unakuwa na ground kubwa ya kuwin! miss chaga uusifuate precedent hii saa nane jua kali ukitongoza mtu hata penye YES utakula X!
 
Back
Top Bottom