TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
Kabla hujamwoa Ester alikuwa na mahusiano na Benard ambaye wanafanyakazi ofisi moja,we ulipofika mjini kutokea mkoani ukatangaza ndoa na Ester,kwa kuwa Benard alikuwa ni hawara tu na mwenye familia yake, Ester akakubali kuolewa na wewe,baada ya muda kidogo ndani ya ndoa wapambe wakakunyetishia kuwa kabla yako wewe Ester alikuwa na mahusiano na Benard.baada ya kufanya uchunguzi ukagundua kuwa ni kweli,
je utamwacha mkeo aendelee na kazi au utamwachisha?
kumbuka:hawakuachana kwa ugomvi bali Ester alitamani ndoa,
je utamwacha mkeo aendelee na kazi au utamwachisha?
kumbuka:hawakuachana kwa ugomvi bali Ester alitamani ndoa,