Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Simu za android zimekuwa breach ikija suala la kutaka kujua simu ya yoyote unaemtaka jinsi anavyotumia (hack) watumiaji wa hizi simu wamekuwa victim bila kujua wanafuatiliwa kirahisi na wapenzi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
USIINGILIE KAZI ZA WATU Wazungu wanasema MIND YOUR OWN BUSINESS, yaani jali shughuli zako mwenyewe. Lakini wengi tumekuwa tunajali sana kuhusu shughuli za wengine, hasa pale ambapo tunahisi...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi jamani kwa nini wadada wanabagua makabila wakati sisi tunataka tuoe jamani??? ??
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Fikra pekee inayomsumbua Kizito ni jinsi atakavyoweza kumwoa Nusura, binti mrembo wa mmiliki wa mabanda, Masharubu. Mjomba Mawazo ana wakati mgumu wa kujadiliana na Masharubu mwenye tamaa ambaye...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Eti jamani nimekosea nini hapa,.nilikuwa na apointimenti na mpenzi wangu aje nyumbani kweli alikuja baada ya kufika na story za hapa na pale hakuniridhisha kivile kwa jinsi alivyokuwa hivyo basi...
2 Reactions
209 Replies
25K Views
Hii imetokea maeneo ya Korogwe Tanga,bibi harusi akiwa na ndugu na Sheikh wa "shughuli" wamepata ajali ktk gari aina ya NOAH.Katika ajali hiyo Bibi Harusi amepata maumivu ya kifua,wengine wametoka...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
niende moja kwa moja kwa jambo lilonileta hapa. wakuu tatizo kubwa lililonileta hapa, ndugu yenu siwezi kabisa kulala hotelini, siwezi kabisa kutumia mashuka, mto na kitanda cha hotel kulalia. si...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Mimi ni kijana ninamiaka 27 na nilizaa na mdada mmoja ila hatukuoana.Sasa katika mahusiano tukashindwa kuelewana ikabid tuachane.Akaniachia mtoto akatambaa.Nimekua nikipenda na kupendwa sana na...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Naomba mnijibu nyie wanawake kujionyesha uzuri wenu na maumbo yenu je huwa ni chambo ya kuvuta wanaume. Kuwadolishia wanawake wenzako kwamba we kali yao au huwa mnapeleka ujumbe gani kufanya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wazazi wangu walifariki kipindi kitefu kilichopita, kutokana na changamoto za maisha ya kila siku kuna kipindi nahitaji mawazo ya wakubwa na kufarijiwa kama mtoto kwa wazazi. Naishi kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ngoja leo ni share story moja ambayo ilikuwa the biggest disappointment to my reputation, nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2014 hivi wakati nikiwa home likizo ya college.Basi si unajua ujana ni maji ya...
0 Reactions
97 Replies
9K Views
  • Closed
Habari wana JF, Yaliyo nikuta usiku wa kuamkia leo sina wa kumueleza kwa heshima ya mke wangu na nyumba yangu, ila kwakua JF hakuna anaenifahamu wala kumfahamu mke wangu bila shaka sitokua...
0 Reactions
96 Replies
25K Views
Katika pita pita zangu nilikutana na jamaa mmoja mtu mzima kidogo ashawahi kuwa flani katika serikali miaka ya nyuma tukawa marafiki. Leo tukaenda lunch akanipeleka kwenye hotel flani very...
0 Reactions
103 Replies
12K Views
My Letter to Every Woman written by a woman. I am a female myself and I have lived with other women long enough to note various traits and habits women have.What I am about to say to you is just...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada. Kuna dalili zote mke...
1 Reactions
140 Replies
27K Views
Ndugu wana JF, Mimi ni kijana mwenye mke na nnamtoto kwa sasa, nilianza mahusiano na mke wangu akiwa ndo amemaliza chuo, maisha yaliendelea ila ugomvi wa hapa na pale kwenye Mahusiano yetu...
2 Reactions
98 Replies
14K Views
Ni mara chache napitaga jukwaa hili lakini leo imebidi nije na hoja ...! Nipo pub nashuhudia jamaa aliyekuwa akijidunga safari lager aka Nondo akimpokea mke wa rafiki yangu ambaye naye kaagiza...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Haka katabia kwa wanaume wenzangu kupenda bikra ili hali wao wenyewe washatumika si sawa imekabidhiwa haswa wa kijinsia acheni hiki kitabia msiwafanye dada zetu wakose amani Bikra kutoka ni...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Jana katika pitapita zangu Pub flan A Town maarufu sana mitaa ya Kati, nimesikia meza ya pili jamaa akilalamika ya kwamba rafiki yake anatembea na mke wake pia ameaanza kumfatilia nyumba ndogo...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Kuwa na rafiki wa kweli mwenye 98% ni muhimu sana katika maisha yako. Njia ya kumjua rafiki wa kweli hutokana na mapito katika maisha yako wewe binafsi. Rafiki wa kweli utamtambua kuanzia mwaka...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Back
Top Bottom