Natafuta wazazi wa hiari

Nov 25, 2015
93
6
Morning JF,

Mimi ni binti natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzazi anavyomfariji mwanae pia ambaye atanipenda kama mzazi ampendavyo mwanae nami nitafanya kama mtoto afanyavyo kwa mzazi wake daddy mom.

Ni pm kama unahitaji mtoto wa hiari.
 
Back
Top Bottom