Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
Wasichana wengine wana lawama wakisikia boyfriend wake amecheat atapiga kelele atamsu "umekosa nini mwanaume huridhiki, utamaliza nyama bucha ileile, kwani mi sikupiiii, si nakuuliza wewe hasidi fisadi namba 1 wa mapenzi usiyetosheka, kwani haikutoshi hii?"
Anatokwa povu wakati in reality hakunaanachofanyaga anachojua ni kubetua ile loki ya sidiria na kujilaza chanuu kusubiria mkwaju.Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka kazi yote ufanye wewe.
Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu, unafinywa si kufinywa, unameng'enywa na mchanganyiko wa meno na kucha unabaki unaweweseka kama kondoo aliyesahau
Mlango wa banda khanga ikianguka mtoto ana shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua, mguu mmoja dirishani mwingine kwenye feni. Ukija kutua unasindikizwa na busu la sikio unaambiwa pole halafu unapewa juisi ya embe hukuUnakunwakunwa ulale.
Sasa wewe unabetua sidiria unatulia kama ndama mwenye mdondo akimaliza unamwambia "sogea huko tulale unanibana''asipochepuka labda ni mhashamu askofu mwandamizi wa kigango cha Mavurunza. C and P mimi Galacha mjumbe tu. Mjumbe hauliwi.
Ushauri wangu mapenzi ni ushirikiano. Jitumeni jamani.