Natafuta wazazi wa hiari

Nov 25, 2015
93
6
Morning jf,

Mimi ni bint natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzazi anavomfariji mwanae pia ambaye atanipenda kama mzazi ampendavyo mwanae nami nitafanya kama mtoto afanyavyo kwa mzazi wake daddy mom ni pm kama unahitaj mtoto wa hiari.
 
Wazazi wako Original wako wapi? Uko wapi? Unafanya nini? Jibu kwanza hayo
 
Morning jf..me ni bint..natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzaz anavomfarij mwanae pia ambaye atanipenda kama mzaz ampendavyo mwanae..nami nitafanya kama mtoto afanyavyo kwa mzaz wake daddy mom ni pm kama unahitaj mtoto wa hiari.
Unalo hitaji la kile ulichokisema au umekuja kwa mlango wa nyuma hili utokee mbele?

Nijibu haya maswali.
1. Una umri gani?
2. Wazazi wako halisi ni nini kiliwasibu?
3. Kwa sasa Unaishi na nani?
4. Unaishi Mkoa gani?

Nijibu hayo maswali tuanzie hapo.
 
huyu kweli anamaanisha
atuambie wazazi wake halisi wako wapi na ana umri gani
na atuambie kwanini anatafuta wazazi humu kwani ustawi wa jamii hawawezi kumsaidia?
 
Unalo hitaji la kile ulichokisema au umekuja kwa mlango wa nyuma hili utokee mbele?

Nijibu haya maswali.
1. Una umri gani?
2. Wazazi wako halisi ni nini kiliwasibu?
3. Kwa sasa Unaishi na nani?
4. Unaishi Mkoa gani?

Nijibu hayo maswali tuanzie hapo.

Wazazi wangu walifariki,nina miaka 19.
 
Morning jf..me ni bint..natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzaz anavomfarij mwanae pia ambaye atanipenda kama mzaz ampendavyo mwanae..nami nitafanya kama mtoto afanyavyo kwa mzaz wake daddy mom ni pm kama unahitaj mtoto wa hiari.

Nataka niwe kaka yako kirosafiii njooo WhatsApp +639080756515
 
Attachments

  • 1449150091473.jpg
    1449150091473.jpg
    13.5 KB · Views: 407
Back
Top Bottom