Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,281
- 5,847
Habari za mchana wana JF,
Nakuja tena kuwapa kinachoendelea juu ya mkasa wangu huu wa Mke wangu amekiri anajichua, ndoa yetu hatarini
Kwanza nashukuru kwa mawazo mazuri mlionipa japo wengine wamenidhihaki na wengine kunilaumu. Kikubwa nilikubali swala la kongea nae ili kujenga tusibomoe familia yetu hasa mtoto wetu mpendwa.
Nikiwa ofisini nilimsimulia hali halisi staff mwenzangu alikosa cha kuniambia kikubwa aliniambia tuongee tutatue tatizo nikamweliewa pia shida ikawa wasiwasi ulionijia kulingana na mazingira ya tunapo ishi nikadhani kwakua kuna wapangaji wa kiume wa wili mmoja police ila ni bwabwa skua na shaka nae, huyu mwingine ni alikua mshiriki wa dume challage nikasema pengine japo hawana mazoea sana.
Basi ninakawaida kila lunch time kwenda nyumbani kula, leo nkasema siendi mda wa lunch nitavuta ilinishtukie kitu maana ndivo hisia zangu zilivokua zinanituma.
Kufika home namkuta mke wangu anapika kibarazani nikamsalimu japo sijachangamka na yeye akanijibu hivo hivo, nikambeba mtoto hadi ndani maana alikua amenipokea nimbebe (mtoto anatambaa) kufika ndani naikuta simu yake kwenye kochi naichukua kukagua watsup, msg sijaona kitu kufika call log nakuta kuna namba mpya kuichukua kuipiga kwangu haikupokelewa basi nikaicha ile simu nikasema hii namba nitaipiga baadae ilimradi nnayo kwa simu, mara ghafla kaingia ndani kama kaleta kitu cha kwanza tu kachukua simu yake ambayo ilikua karibu yake japo si jambo la kawaida.
Alinitiashaka kwanini hivo basi mi nikadhani ile namba itakua ya mpangaji mwenzetu nikasema nitajua tu ngoja, basi nikaondoka bila yeye kunisemesha na mimi hivo hivo nikiwa njiani kurudi kazini nikaipiga ile namba ikapokelewa na sauti ya kiume nikauliza jina la jamaa mmoja ambaye ni mtu wake wa karibu hua namsikia wakisalimiana akaniambia hapana yeye ni flani nikamwambia mwanamuziki akasema ndio nikasema poa nikakata simu.
Sasa huyo jamaa ni mpenzi wake wa zamani ambae baada yake ndo mimi na waliachana na mke wangu baada ya mke wangu kupangwa na jamaa.
Sasa je hapa nifanyaje, sijarudi nyumbani imenibidi nionganishe ofisin tu ndo najishauri nikirudi nifanyaje?
Mungu nisaidie