Mimi ni mpole sana, heartbroken! Pengine kwa hili nitapata wa kuupoza moyo unauma

UngaUnga

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,724
1,463
Habari za kitandani wadau wa mmu!,

bwana, mimi nikipenda huwa napenda kweli! sio kama ccm zenji zisipotosha kura zinatoshelezwa! Pasco karibu hapa,

nimemsomesha binti nilie/ninae/ mpenda! sijui naeleweka!,

o & a level, by the time being, akapata loan ya helsb, kwenda udom, yuko mwaka wa 2 sasa,
kila ninapompigia simu ananiambia baby niache kidogo! amechange si kama zamani! anyway kwa sababu mimi nimesomeshwa na mgodi toronto, canada niliishia a level baada ya training na supervision nzuri toka kwa msafiri w. (r.i.p) pengine ndio tabia za mabinti wa chuo? plz Pasco help me! they r squarting much! n my bby dont! ndio naachwa! mapapaa wanachukua mzigo?!
 
USIMSOMESHE MWANAMKE KABLA HUJAMUOA,labda kama ni ndugu/rafiki yako. hivi ww huonagi story watu wanavyotoswa baada ya kumfikisha chuo? na pia vitabu vya hadithi kama hizo zimetungwa?
 
Mkuu Hapo Tatzo Kwako Ni Lipi?? Na Umethibitisha Mapapaa Wanamchukua?? Sumtym Mtu Anaweza Badilka Kutokana Na Mazngira...Aimaniishi Anakusaliti, Kma Auna Uthibitisho Ni Mapema Kusema Hayo, Kuwa Mvumiliv Ukwel Aujifichi.
 
Acha kulialia wanawake wamejaa telee tena wengi wao wapo makanisani wakikesha kuomba kuolewa...
Huyo wako usijipe moyo kashakua Chakavu tupa kule..ukweli ndo huo "c.jui unaelewa..!!?"
 
Nina girl friend wangu, aliniletea Habari hizo Eti nimpeleke chuo, daah now nafanya mpango nimweke ndani ikiwezekana nimzalishe mtoto mmoja ndo nimpeleke college aongeze ujuzi ,
Nimejifunza mifano mingi sana kwa watu , hata sithubutu hata kidogo
 
Hutoagi Sadaka Mkuu??
 
Hivi akili za wanawake unazijua? Si tunaofanya kazi vyuo vikuu tunaona mengi.

Endelea na maisha yako utapata vidonda vya tumbo bure.
 
Habari za kitandani wadau wa mmu!,

bwana, mimi nikipenda huwa napenda kweli! sio kama ccm zenji zisipotosha kura zinatoshelezwa! Pasco karibu hapa,

nimemsomesha binti nilie/ninae/ mpenda! sijui naeleweka!,

o & a level, by the time being, akapata loan ya helsb, kwenda udom, yuko mwaka wa 2 sasa,
kila ninapompigia simu ananiambia baby niache kidogo! amechange si kama zamani! anyway kwa sababu mimi nimesomeshwa na mgodi toronto, canada niliishia a level baada ya training na supervision nzuri toka kwa msafiri w. (r.i.p) pengine ndio tabia za mabinti wa chuo? plz Pasco help me! they r squarting much! n my bby dont! ndio naachwa! mapapaa wanachukua mzigo?!
Japo hii story imekaa kiuongo uongo ila hii situation huwakuta wengi. Naomba nimtete huyo mtoto, kazi yako ni kuwa the provider, kule chuo lazima awe na watu wa chuo, wenzake, wa kusoma nae, kumpiga zile tuition za usiku kucha, na wakichoka kusoma, ni kawaida ya wanachuo wote dunia nzima, ni kazi na dawa!.

Wewe kwa vile ulipenda, vumilia tuu, hao wenzake chuo wanakula tuu lakini hawabandui, na mlo ule hauna makombo!, hivyo wewe endelea kugharimia tuu, shule atamaliza na atarejea kwako!, ila pia ili usiuumize moyo wako, mara moja moja pitia pitia pale Corner bar na wewe angalau angalau upunguze machungu!.

Lala.

Pasco
 
Japo hii story imekaa kiuongo uongo ila hii situation huwakuta wengi. Naomba nimtete huyo mtoto, kazi yako ni kuwa the provider, kule chuo lazima awe na watu wa chuo, wenzake, wa kusoma nae, kumpiga zile tuition za usiku kucha, na wakichoka kusoma, ni kawaida ya wanachuo wote dunia nzima, ni kazi na dawa!.

Wewe kwa vile ulipenda, vumilia tuu, hao wenzake chuo wanakula tuu lakini hawabandui, na mlo ule hauna makombo!, hivyo wewe endelea kugharimia tuu, shele atamaliza na ataejea kwako!, ila pia ili usiuumize moyo wako, maa moja moja pitia pitia pale Corner bar na wewe angalau angalau upunguze machungu!.

Lala.

Pasco

Asante, ntapitia pale corner bar, karibu na chuo cha ustawi nami niwe najigegedea, ila bei zao ndio sijui zinaanzia ngapi, kimboka,sewa ,kisuma(suga ray) bei nazijua.
 
Pole sana!
Acha aende kama anakwenda.
Utapata mwingine bora zaidi yake
Mapenzi yapo tu wanawake wapo wengi tu wazuri na wanaojielewa
 
mkuu saamhan mim nmeona kam kuna kama story nne hiv tofaut

1. uchaguz wa zanzibar na ma ccm yao...
2. kumsomesha mpenz wako
3. kusomeshwa canada na mgodi
4 kuishia a level

sasa sijaelewa exactly connection ya hvyo vyote vinne kwa pamoja
 
Imeandikwa kuwa wote waloumizwa waje kwangu niwapunzishe. Shauri yako wewe endelea kuona kila aina ya rangi utakapokutana na rangi kijani + njano = red utakumbuka maneno yangu. Unateswa na nn jibu unalo? Be a man bana!
 
kazi unayo...we msomesshe tuu na tegemea matokeo yoyote kwani umefunga ndoa...mie nishaona mengi kwani chuo nilma 2011 muda uliopita mpaka sasa na tangu tunaanza chuo tumeona mengi...somesha at your own risk
 
Nina girl friend wangu, aliniletea Habari hizo Eti nimpeleke chuo, daah now nafanya mpango nimweke ndani ikiwezekana nimzalishe mtoto mmoja ndo nimpeleke college aongeze ujuzi ,
Nimejifunza mifano mingi sana kwa watu , hata sithubutu hata kidogo
Hivi akili za wanawake unazijua? Si tunaofanya kazi vyuo vikuu tunaona mengi.

Endelea na maisha yako utapata vidonda vya tumbo bure.
Na kama kichwani ndo hazipandi vizuri anakuwa mboga
 
Back
Top Bottom