wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,353
Hakuna kitu bora kama kumrithisha mtoto vitu bora na hasa nidhamu ya kutunza pesa na uwezo wa kusoma vitabu na kutunza pesa kupitia KIBUBU Bank hii hutumika kumfunzia mtoto jinsi ya kusave Pesa.
Zingati:Umri wa miaka minne ni sahihi kuanza kumpa mtoto Pesa then unamuambia akatumbukize kwenye KIBUBU Bank,zoezi hili linatakiwa lifanyike kila siku mpaka tabia ijenge mazowea na kwa kuwa mazowea hayana dawa basi tabia itakuwa imeingia kwenye DNA.
KIBUBU Bank itakapo jaa yatakiwa umuite mwanao muifungue pamoja kisha atakuwa ameona uwingi wa pesa alizokuwa akiweka kila siku baada ya kua nying,then kivunje kile KIBUBU Bank mbele yake afu muulize kitu ambacho anakipenda akikutajia chukua pesa alizo save mnunulie anachokipenda.
Utakuwa umemjengea tabia madhubuti ya kuwa ili aweze kupata anachohitaji lazima afanye savings ndio ataweza kupata kila atakacho.Money is something we all need,earn it an honest way and spend it in a good way.