Katika kitu ambacho nimejaribu kupambana nacho nimeshindwa ni uzinzi, kutokana na mipango yangu ambayo nataka niitekeleze ndani ya miaka miwili inayokuja niliamua kujitenga na uzinifu na baada ya miaka hiyo miwili nitaoa na maisha yaendelee, ila sasa jinsi hisia za napenzi zinavyonisumbua.
Nimekuwa nashindwa kuikataa zinaa maana nikikaa wiki sijafanya mapenzi nakuwa naboreka sana hata ufanisi wangu wa kazi zangu unashuka na mawazo ya ngono yanatawala sana , ila nikitafuta mwanamke nikishalala naye akili inarudi kawaida naweza kufanya azi zangu vizuri pasipo shida yoyote na nakuwa mchangamfu sana, ila baada ya wiki au siku tatu hali ya kuboreka inarudi tena, sasa naanza kuona kama malengo yangu yanataka kushindikana kufikia kwa sababu ya kuendekeza zinaa kama mnavyojua gharama za kugegenda hapa mjini zilivyojuu Kwa watu wenye uchumi wa juu lazima uende sehemu ya gharama na bibiye lazima ale hela ya kutosha ili ukimwita kesho asijishauri sana awe na uhakika wa kupata chake na kusepa,
Je wenzangu mnafanyaje kukwepa zinaa kwa kipindi cha mpito mnachotaka kutimiza baadhi ya malengo yenu muhimu??
Je kuna njia za kukuondoa kwenye mawazo ya mapenzi ??
Nini kinaweza kunifanya nikachangamka pale ninapokosa kufanya mapenzi niepukane na boredom?
Nasema haya yote kwa sababu wanawake wote niliokuta nao hawaendani na malengo yangu, kwa hiyo nipo nao kwa sababu ya mapenzi sio wa mipango ndo maana uwa nawapa chao baada ya mechi wanaondoka.
Jumapili njema wadau.