FRIES.
Kama chips na vyakula vyote vya kufry.
Vinafanya level ya testosterone kushuka na hata blood pressure ambayo huleta uchangamfu katika mechi.Blood pressure ya chini ufanya hata dyudyu...
Habari wana JF, Mimi ni mtu mwenye umri wa makamo tuingie kwenye mada
Mke wangu mara kwa mara nimemuona ana mahusiano ya karibu sana na huyu binti yani muda wote wako wote, hii haikunipa shida...
"Je utakubali kuolewa na mimi?"
Akamuuliza mpenzi wake ambae ni mtarajiwa wake katika ndoa.
Mwanamke akainua kinywa chake kutaka kuzungumza lakini mwanaume akamzuia na kumwambia yafuatayo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi ni kijana above 30yrs, ninafanya kazi hapa hapa Dar, naishi maisha ya standard,yaani nina nyumba na nina gari, natafuta mchumba ambaye baadae baada ya...
Ninamfahamu Deo kwa miaka zaidi ya mitatu sasa tangu ameajiriwa kwenye kampuni yetu, nimfahamu mke wake na watoto kwani katika shughuli za kifamilia mara nyingi ananialika, mke wake ni mcheshi na...
Wanaume wengi ikiwemo Dar hupiga kamoja tu na kuwa hoi. Wengi wao ni kujenga six packs alafu kwenye game holla. Hebu jaribuni kula vizuri basi mnatuaibisha bhana.
Kwa mabinti sio wote ila wachache ambao wameweka pesa kama ndo kipaumbele cha kwanza kwenye mahusiano! Ndo maana wengi mnatumika na wenye pesa na siku mkitaka kufika nchi ya ahadi (kwenye ndoa)...
p { margin-bottom: 0.1in; line-height: 120%; }
Husika somo hapo juu
Kama hilo tatizo lilikukuta au uko nalo sasahivi usijali
Haupo mwenyew.wengi tumekuwa tukionewa kwa sababu mbalimbali na wake...
Habari Jf,
Kijana kama muda wa kuoa umefika usijaribu kuoa mwanamke mwenye mtoto au watoto kwa kujipa moyo kuwa inawezekana.
Madhara yafuatayo utapata baada ya kuoa na yatakuathiri...
Kipindi utakapokubali kutoka kimapenzi na mme wa mtu, utakuwa umekubaliana kuwa mwanamke wa daraja la pili. Na siku zote mtu wa daraja la pili ni mtu wa daraja la chini ukilinganisha na daraja la...
◈ To Get Away with Stuff This is the reason why most women lie as well, right? It is often just easier to give a very simple and easy answer, as compared to saying the truth. Often, in saying the...
Wakuu,
Kuna mama ntilie flani hapa Arusha kaniganda hatari,nilikuwa na lengo la kuchapa tu na kuingia mitini,lakini naona kaniganda na hana mpango hata wa kuachana na mie.
Kiumri kanizidi kama...
1: ASIWE KWENYE UHUSIANO
Jambo lingine la kuzingatia kwa mwanaume huyo wakati wa harakati za kumweka mikononi mwako ni kuhakikisha hayupo kwenye uhusiano na mtu mwingine. Kunabaadhi ya wanawake...
kundi hili ni wahanga zaidi kuliko wanaume,hebu soma yaliyompata huyu mama.
Ni mama wa heshima zake na mwajiriwa wa kampuni fulani,bahati mbaya hakuwa na mtoto,alienda kwa mganga katika jitihada...
Ambacho mabinti wanatakiwa kustuka , ni kwamba wengi wataolewa na bodaboda, wafanya biashara, ukibahatika mwanasiasa, kwa sababu wasomi hawana ajira, hivyo atakwambia nisubiri nipate kazi ...
Wakuu,
Kuna binti wa mama mwenye nyumba ananinshangaza,kuna kipindi nilisafiri kwenda Uingereza na tangu nirudi huyu binti nimekuta ana tabia ya kuanikia chup.i zake karibu na mlango...
Nina nyumba ndogo ambaye nimezaa naye mtoto mmoja,namhudumia kwa kiasi kikubwa na chumba nimempangia.
Juzi kati akaniaga kuwa anaenda kumsalimia mama yake,nikampa na nauli mida ya mchana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.