Mrejesho: Kupima HIV

Mrejesho: Kupima HIV

habar waba great thinker leo tareh 15/08/2015 nimeamua kupima virusi vya ukimwi huku nikiwa na mawazo ya kukimbia majibu ,,,kwan nimepitia mapito meng sana mpaka kusababisha nikaamua kupima baada ya mpenz wangu kupata ujauzito na kuambiwa njoo na yule aliyekupa ujauzito mpime pamoja ndio mfungue file la kriniki ,,sasa kuniambia kwamba kaenda hospital na kakataliwa kufungua mpaka tuwe wawili nilikuwa nawaza sana nifanyaje na mm sijiamin kabisa nikamuambia mpnz nenda waambie jamaa yupo mkoa wa mbali ,akaenda lakn wakakataa sasa nikachukua maamuz magumu kwamba liwalo na liwe naenda kupima na siku ikifika tutaenda na mpnz wangu bila wasiwasi wowote wakat wa kupokea majibu ,nilikuwa ninasababu tatu mpaka nilikuwa naogopa kupima
1....kuna dada nilikuwa nimezoeana naye sana mpaka nikamtongoza akakubali lakin mm nilikuwa busy sana na chuo mpaka nilikuwa simtafut yy ndio alikuwa anaanza kunitafuta ndio twaendelea kuchart kwake niliishia kupga denda tu baada ya muda yeye mwenyewe akaniambia tuachane nilihuzunika sana nikakubali matokeo baada ya miez mitatu nilikuja kuambia kazaliwa na ukimwi ,kutokana na nimezoeana sana nikaenda kumuuliza akakubali akasema iwe siri nisitangaze mtaan kwao nikashukuru kupona kwani nilikuwa cjawah sex naye
2.... ni dada tulisoma wote shule ya msing ,mpaka tupo chuo tukaanza kuwasiliana naye akawa anasema hana mtu nikamuomuomba kusex akakubali lakin akadai mpaka likizo kwan yy alikuwa anasoma iringa mm nasoma mbeya siku akaja likizo nikatoka chuo nikamuambia tuonane sehemu hela siku nayo ya guest nikapanga kumpeleka home ,sasa home mara nying tunahifadhi funguo sehemu tunaweka yamlango wa nje sasa kwakuwa nilifanya suprise kwenda home na nilijua tu mama hatakuwepo nilpofika home funguo sikuikuta nikampigia simu mama na akaniambia funguo katembea naye niliumia sana nikaishia kupiga denda tu baada ya muda nikaambiwa kaathirika na hata sasa nikionana naye kakonda sana thanks munguu kuniepushaa


huo ndio mrejesho tu kweli mungu ananjia nying kukuepusha
uko wapi mrejesho, halafu hiyo avatar au we ni ke
 
Endelea kupima mara kwa mara, vile vile HIV haiui haraka kama malaria na kansa, hvo hata ukikutwa nayo unaweza ishi miaka 20 zaidi.
 
ila kaka ukimwi sikia kwa mtu tu sio kwako waweza konda kwa mawazo Apologise lady
 
Last edited by a moderator:
bhas nimekosea kusema mrejesho Watu8
 
Last edited by a moderator:
dagii nimepona sana sasa natuliaa watoto wazur kumbe wengne majanga
 
Last edited by a moderator:
Wewe bado dogo kweli,yani demu wako unampeleka nyumbani kwenu kwenye nyumba unayolala na wazazi?
 
Hapana mwanangu,weka utaratibu wa kuvaaa but kila mara
 
Sijui kama wenzangu mumeuona huo mrejesho wa huyu jamaa.
 
Kuweka avatar za kike wakati ni wanaume mtaishia kutongozwa na kuomba papuchi huko PM, change the damn avatar😡
 
umejaribu kuelezea ukweli ndio nimekupata. huyp dada anasoma chuo gan hapa iringa? ila in general bro pamoja na uhuni wetu nasema hivo sababu na mm na uhuni wangu tuu mkubwa. Mungu ni mwema mno atatumia njia mbalimbali kukuepusha na msala amini nakwambia ukimtumainia kwa. moyo wote pamoja na kwamba hakuna aliekamilika wote tunmkosa atakukomboa tuu. bro katubu upunguze dhambi, toa sadaka ya maana kanisani hlaf kasali aendelee kukulinda maana bado safari ni ndefu. Amen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom