Nitumie njia gani niweze kupata mwenza wa maisha?

wa kijijini mkuu ukiwaleta mjini wanajanjaluka na wao wamekua adimu kama vipi nielekeze kijijini kwenu
 
sasa mkuu bila mwenza si nitakua napiga puchu ambayo ni hatari
 
Jf imekuwa kitu cha ajabu sana siku hizi! Mtu anaomba msaada anajibiwa kama siyo binadam kwani ukikaa kimya bila ku comment utawashwa! punguzeni utoto bhana
 
najua umu jamvini kuna watu wana mademu zaidi ya wawili wanigawie na mimi mmoja kila mtu
 
Jamani sijajua nina tatizo gani kwani nimetafuta msichana, mchumba, mke mwema humu na mtaaani kwetu nimekosa bila mafanikio.

Naombeni msaada nitumie njia gani ili nipate mweza wa maisha.

Karibuni kuchangia
Dear pole sana.. There is no short way mpendwa.. Ni kusugua goti and kufunga mmpaka kieleweke ... Mungu ni mwema and will definetly give your heart desire, Amen.. Good luck.. Thanks..
 
Zamani mama alitafutia mwanae mke na wewe jaribu kama kijijini kwenu hakuna, vipi vijiji jirani? Hakuna kijiji kisicho na msomi enzi hizi za Big results. Kata zimetoa wasomi wa kutukuka jaribu huko. Otherwise jichunguze, unatumiaje muda wako wa leisure time? Disco, beach, library, kulala, Bar, pool? Kati ya hizo sehemu ni chache mno utakuta wachumba watarajiwa labda kama unataka bar maid ambao wengine ni wasichana wazuri tu tena wenye haiba na malezi ila maisha yanawafanya wauze bar ambayo kwa sasa ni kazi kama nyinge vile vile. Nenda disco kuna wasichana wa college jichanganye utampata mmoja aliyeenda huko kutafuta kama wewe. Ni mawazo yangu tu.
 
najua umu jamvini kuna watu wana mademu zaidi ya wawili wanigawie na mimi mmoja kila mtu
Trust me you don't want that... Pray and Fasting will give a good wife if you dont want to live in Hell... Not all women are meant to be marry... Because many are called but few are chosen.. Amen.. Stay still and believe more in God.. Amen.. Thanks..
 
Jamani sijajua nina tatizo gani kwani nimetafuta msichana, mchumba, mke mwema humu na mtaaani kwetu nimekosa bila mafanikio.

Naombeni msaada nitumie njia gani ili nipate mweza wa maisha.

Karibuni kuchangia
Sina hakika kama mtaani kwenu hakuna wanaofaa labda kama una shida ya tofauti ndo uombe msaada zaid. Kama ndivyo; angalia mitaa ya jirani,pia pendelea pia kwenda kwenye sehemu za mjumuiko km vile makongamano, matamasha, sherehe n.k. Wakijijini ni jinsi utavyo mtreat ila hawana shida. Hujawa siriaz tu kutafuta ila ukiamua unapata bila shida.
All the best mkuu
 
sasa mkuu bila mwenza si nitakua napiga puchu ambayo ni hatari
1. Endelea kupiga puchu, haina nadhana na haijawahi kua na madhara,achana na hadithi za vijiweni za kilevi na kijinga.

2. Angalia aina yako ya uvaaji,uongeaji, wanawake wwngi wanapendelea mwanaume mwenye staha,acha mambo ya kicheki bob cheki bobu.

3. Kuna kila aina ya wanawake na wanaume wao,angalia kundi la wanawake wa aina yako au hadhi yako,usitake mwanamke anaekuzidi hadhi,wanawake sio kama wanaume wana tabia ya kudharau kama anakuzidi hadhi.

4. Jaribu kua mtanashati na msafi,wanawake hawapendi mwanaume mchafu mchafu,jiweke safi na mwenye staha kidogo.

5. Jifunze kutongoza kwa kunyenyekea na kwa nidhamu, sio unatongoza kwa kulazimisha,k ni yake sio yako kwa hiyo iombe kwa nidhamu,usiwe unatongoza kwa kulazimisha.

6. Anza kutongoza watu wa kawaida kama wadada wa nyumbani na mama ntilie,wafanya usafi na ikiwezekana wahudumu wa bar,anza kwanza kutoa mkosi kwa hao kisha nyota yako itaanza kuwaka utaopoa watoto wakali.

7. Tafta pesa, pesa ndio silaha ya mwisho kwa mwanamke,hakuna mwanamke asiepemda kuhongwa,uwe na tabia ya kuhonga.

8. Acha ubahili,hudumia,hakuna kitu cha bure,hakuna kupendwa,pesa inapendwa kwanza kisha mtu badae.

Natumai itakusaidia.
 
kama ni mademu sehemu nyingine ningewagegeda hata kwa siku watatu kule kwenye badoo,insta,kwa mboka na sinza na wale michaluko ..mi nataka wa maisha mke mwema... yeyote asomae uzi huu msichana atafutae wa maisha basi aje pm
 
Vaa gauni, vaa heleni, vaa wigi, wanja midomoni, vikuku miguuni then jichanganye nao fasta mchumba mbona utampata ndani ya dakika 10!! JUST DO IT
 
Nenda kwa mababu wa ntakupa mbinu weee unasema umekosa mchumba sikuiz hata watoto wadogo wanajua kujichukulia jiko
 
Back
Top Bottom