Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,958
Siku hizi ndoa nyingi zimekuwa na matatizo lukuki mpaka hakuna heshima ya ndoa tena.
Wanandoa wanachepuka kila siku mpaka mtu unajiuliza kwanini watu wanaamua kuoana.
Wanandoa wanaachana kila siku sababu zikiwa likuki ila nyingi michepuko ndo inasababisha.
Na hao hao hawajaacha unakuta hakuna amani ndani ya nyumba wanaishi ilimradi siku ziende tu.
Ukiangalia wanandoa wengi wanapatwa na magonjwa ya zinaa(UKIMWI,gono n.k).
Mda mwingine ukitafakari unaona ni bora uishi kivyakovyako tu siku ukijisikia unatafuta mtu mnabanjuka maisha yanaenda.
Wanandoa hembu tupeni sababu zinazosababisha hizo purukushani na mnadhani nini kifanyike kuepusha haya yote.
Na ambao hamjaoa/Olewa mnawashauri kitu gani kabla kuingia chamani ili yasiwapate yanayawapata wanandoa walio wengi.