Kila msichana ninayekuwa naye anakuwa anafanya mambo kwa hasira

KACHINJA

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,263
868
Kila msichana ninayekuwa na mahusiano nae kimapenzi tukiachana anafanya mambo kwa hasira na jazba.

- Wakwanza kuwa nae baada ya kuachana nae alibeba mimba ili kunikomoa.

- Wa pili aliamua kutoka kimapenzi na rafiki yangu.

- Wa tatu tumeachana wiki iliyopita leo hii imenitumia sms kuwa ameshatolewa barua sasa sijui huwa wanafikiria nini mpaka wafanye hivyo.
 
Mbona una nafuu ndugu yangu hapo hamna jambo hata moja linalokuathiri. Kuna watu wana hasira kaka! Yaani umemuacha lakini anakuandama balaa. Yaani we shukuru Mungu hakuna jambo la hasira hapo.
 
Hayo ni maisha yao mapya baada ya we kuachana nao, mbona hamna tatizo? Wao ndo wanaumia zaidi wanapokumbuka walikotoka. Au mzee unapoacha inakua sizitaki mbichi hizi......?
 
jichunguze ww kwanz! haiwezekan wadada wa makabild, dini, ukoo, rangi, sura, umbo tofaut eti wawe na tabia 1 no! no! no! must there is something behind u,.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom