Amemwaga mboga, je na mimi nimwage ugali?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Habarini,

Kitambo sana sijaiingia humu nilipamiss sana hapa lakini majuku ndo yalinibana!

Anyway ngoja niende kwenye mkasa wenyewe,nilikuwa na msichana fulani ambaye sahizi tumeachana kama wiki 2 hivi zimepita yeye ndo alinifuata na kuniambia anaomba tuachane akatoa sababu zake pale.

Japo nilibisha nikaamua kumuelewa na kukubali kuachana naye na akanipromiss kuwa akihitaji kuwa na mtu atanitafuta tuendelee na uhusiano wetu nilikubali na akaomba iwe siri kati ya mimi na yeye na nisimwambie mtu nikamwambia poa kweli hata marafiki zangu hawajui wa karibu hadi sasa wanajua bado nipo naye.

Lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nafuatwa sana na watu wananiambia yale msichana wangu anayo anayasema kwa marafiki zake wakiume na wakike wote anawaambia ananisema kifupi na kikubwa kavunja makubaliano yetu ambayo yeye mwenyewe alisema kuwa nisimwambie yeyote iwe siri yetu kifupi anamwaga mboga, akaomba nimtunzie na siri zake lakini sahizi naona hili linavuka mipaka ananisema sana kwa marafiki zake na ninaambiwa sasa mimi sipendi nimekaa kama mjinga.

Nikampigia simu kumwambia namuomba tukutane kuna kitu nataka kuongea nae lakini kaniletea dharau ambayo sijawahi fanyiwa na mtu yeyote yule maisha yangu, lengo langu nilitaka kumuuliza na kuongea naye kwanini anatema shudu kwa marafiki zake hio siri iko wapi lakini akakataa.

Nimejiuliza mengi nikasema mimi ni mwanaume je na mimi nianze kutema siri zake? Nikaona haitasaidia lakini maneno yanazidi hadi sasa nataka kupost picha zake zote za uchi mitandao yote ya kijamii nayo ifahamu kwa hasira nilizo nazo lakini naona kama haitasaidia nashindwa nifanyaje, sijui niteme siri zake zingine zote na sababu iliotufanya tuachane maana sababu iliotufanya tuachane nikosa lake kubwa sana na ni aibu katika jamii na kila atakae sikia basi atamdharau yeye kwa kila kitu.

Je nimwage ugali? Au nikaushe kiume
 
Habarini....Kitambo sana sijaiingia humu nilipamiss sana hapa lakini majuku ndo yalinibana!

Anyway ngoja niende kwenye mkasa wenyewe,nilikuwa na demu fulani ambaye sahizi tumeachana kama wiki 2 hivi zimepita yeye ndo alinifuata na kuniambia anaomba tuachane akatoa sababu zake pale japo niliibisha nikaamua kumuelewa na kukubali kuachana naye na akanipromice kuwa akihitaji kuwa na Mtu atanitafuta tuendelee na uhusiano wetu nilikubali na akaomba iwe siri kati ya mimi na yeye na nisimwambie mtu nikamwambia poa kweli hata marifiki zangu hawajui wa karibu hadi sasa wanajua bado nipo naye!

Lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nafuatwa sana na watu wananiambia yale demu wangu anayo yasema kwa marafiki zake wakiume na wakike wote anawaambia ananisema kifupi na kikubwa kavunja makubaliano yetu ambayo yeye mwenyewe alisema kuwa nisimwambie yeyote iwe siri yetu kifupi anamwaga mboga akaomba nimtunzie na siri zake lakini sahizi naona hili linavuka mipaka ananisema sana kwa marafiki zake na nina ambiwa sasa mimi sipendi nimekaa kama mjinga

Nikampigia simu kumwambia namuomba tukutane kuna kitu nataka kuongea nae lakini kaniletea dharau ambayo sijawahi fanyiwa na mtu yeyote yule maisha yangu lengo langu nilitaka kumuuliza na kuongea naye kwanini anatema shudu kwa marafiki zake hio siri iko wapi lakini anazingua....

Nimejiuliza mengi nikasema mimi ni mwanaume je na mimi nianze kutema siri zake? nikaona haita saidia lakini maneno yanazidi hadi sasa nataka kupost picha zake zote za uchi mitandao yote ya kijamii nayo ifahamu kwa hasira nilizo nazo lakini naona kama haita saidia nashindwa nifanyaje,sijui niteme siri zake zingine zote na sababu ilio tufanya tuachane maana sababu iliotufanya tuachane nikosa lake kubwa sana na ni aibu katika jamii na kila atakae sikia basi atamdharau yeye kwa kila kitu

Je nimwage Ugali? au nikaushe kiume
Mwaga
 
Kwani ulimfuma anapitiwa mfereji wa maji taka?
 
Wanawake hupenda kuongea na Wanaume hufanya vitendo, Huyo mwache aongee wewe tengeneza hela tu. Ukija kumfanyia vitu vya aibu kuna siku moyo ukirudi(mkirudiana) aibu munaipata wote. Pia baadhi ya mademu watakuogopa kukudate manake huchelewi kuwamwagia ugali.
 
Mwaga maji ya kunawa ili asile.......Mkuu achana nae ww saka mkwanja mwache yy asake sifa usiwe kama wa Dar
 
endelea mbele, usijiweke kwenye daraja ya wambea na wapiga majungu na usikae kusononeka kwa madogo kama haya na wala usimwage chochote.
 
Amekufanyia Timing ili hata ukienda kuzisema siri zake uonekane unajitetea, na ukianza kujibu watu watathibitisha kwamba ni kweli yale waliyoambiwa juu yako.

Kaa kimya, achana naye maisha yaendelee.
 
Acha upopoma ukimwaga siri zake hakutakuwa na tofauti kati yenu na umefanya makosa kumuuliza we umuache akutangaze ila uongo haudumu daima tafuta hela mkuu wanaempamba leo kesho watamuona kimeo
 
Kwani uhusiano ambao sio ndoa huwa na siri gani?
Mnauza ngada!!!?

Najiuliza hizo siri ni zipi?? Za mahusiano tu?? Mpaka mtu bmanakwambia naomba tuachane kwa siri??

No doubt huyo alikuwa anajiuza, mtumiwa mfereji maji taka n.k
 
Back
Top Bottom