manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,731
Jamaa kapata demu wa kizungu hapa TZ, Huyo mzungu ni hawa wanaokuja kama ma-volunteer kwenye vituo vya kulea watoto yatima...Demu kampenda sana chalii wakapanga waende majuu..Kila kitu kikakamilika jamaa kajikuta katua Denmark..Sasa ile kutua tu akataka ajifanye born town yeye si mshamba kiivo..Wkend 1 demu katoka out na marafiki zake pamoja na jamaa wakaenda kwenye hotel kalii..Sasa wakiwa pale wanapiga 1,2..walikuwa wamekaa pembeni na swimming pool wakawa wanachek watu wanavyo piga mbizi...Ghafla jamaa kachomoka pale kwenye meza..Katoa tshirt tu akiwa na sendosi zake chubwi kajitupa ndani ya swimming huku anacheka mno na kumpungia yule demu wake akiwa anaamini anaonekana wa kisure ile mbaya..
Ndani Swiming palikuwa asilimia kubwa imejaa wazungu...Kumuona jamaa kaingia na masendosi kule watu wote wakatoka kwenye swiming wakaanza kumsakama yule Mmbongo kwa maneno makali..Meneja wa hotel akaja akapiga simu Polisi wakaja..demu kajaribu kuomba sana wapi..Polisi wakamchukua jamaa akapigwa siku 14 kwa kosa hilo...So yote hayo ni jamaa alitaka kuonyesha yeye si mshamba kisa tu aliona ulaya watu wanakanyaga masofa na viatu kitandani unakuta mtu anaingia na viatu akajua ni kila mahali....
Na hii iwe funzo kwa wale wanaopelekwa hotel kubwa badala ya kuagiza Coca Cola uliozoea unasema na mimi nipe hiyo hiyo Long Shot unakunywa unalewa unabebwa kwa aibu ...Tuliozea kula na mikono hata kama ni kwenye Hotel kubwa kula na mkono wako ama kijiko ulichozoea utakuwa comfortable kuliko kuvunja sahani ya watu na kumwaga chakula kwa kung'ang'ana kushindilia kisu na umma kwenye nyama yenye mfupa..