Madhara ya kutumia condoms

Madhara ya kutumia condoms

junior mzolo

Senior Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
140
Reaction score
7
mhhh,nimesikia tu baadhi ya wanaume wakilalamika eti kondom zinaumiza mishipa ya uume, ,,,sa sina uhakika hivi ni kweli au uzushii tu
 
mhhh,nimesikia tu baadhi ya wanaume wakilalamika eti kondom zinaumiza mishipa ya uume, ,,,sa sina uhakika hivi ni kweli au uzushii tu

inategemea na aina ya cndm unayotumia jrbu ruff rider kdgo hzbni zile tofaut na hz zngne
 
Akikwambia tene huyo mtu mwambie akupatie scientific evidence
 
Waulize wanaotumiaga!mi sijawah tumia so sina uzoef nazo..loading error...
 
Back
Top Bottom