Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
UKITAKA NDOA IWE NA AMANI.
Mwanamke amheshimu Mume wake asilimia 100%. Atapata huduma, Amani na hospitality ya juu kutoka kwa Mume wake.
Mwanamke anayelilia 50/50 ndani ya ndoa ni kama mtoto mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd.
Haijalishi mwanamke umesoma mpaka wapi?, uko mzuri kiasi gani, una mali kiasi gani? Ukileta jeuri talaka inakusubiri mlangoni.
#NDOA HAISOMEWI ILITENGENEZWA NA MUNGU HAISOMEWI WALA HAINA CHA UZOEFU.
MWANAMKE NI MSAIDIZI WA MUME HIZI HABARI ZA 50%50 ACHIA MAHAKAMA.