Mwanaume kulalamika kuhudumia/mizinga ni ujinga na utoto

ugalila

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
652
599
Vijana wengi wanalalamika na wanashindwa kuelewa kuwa maisha ya leo yanaendeshwa na dhana kubwa ya nipe nikupe, ikiwa na maana ukitaka mahusiano na mtu yoyote lazima uwe una kitu unampa na yeye kuna kitu anakupa, kama wewe ni mwanaume umetongoza mwanamke anakuambia nitumie laki basi hiyo ndo point yako yakuomba mzigo.

Kwani ndiyo bei yake hiyo kama huwezi waachie wanaoweza kwani ndio bei yake hiyo ukimwacha atawapelekea papuchi yake wanaoimudu hiyo hela watampa, siku hizi hakuna mtu yupo tayari kulea mzigo wowote.

Kama upo na mtu jua kuna kitu unampa ndo kina kufanya uendelee kuwepo naye, usijidanganye fulani ananipenda sana kumbe wewe unatumika kweli kweli ndo maana anakupenda.

Kila mtu kwa sasa kajanjaruka anataka kupata faida kwa kila mahusiano aliyonayo, hakuna kitu cha bure.Jitahidi kuwa na faida kwa mwenzako sio kulalamika mwenzangu anataka sijui ofa sana/vizinga wakati huna faida kwake.

Kama unafikiri kuna mapenzi ya kweli pasipo nipe nikupe utaumia sana siku hicho mwenzako anachokifaidi kwako kama ni gari/ofa/ada ya shule/kodi/nk kitaondoka halafu na huyo anayejifanya anakupenda naye anakukimbia kwa kukosa alichokuwa anakifaidi.
 
Ndo sababu mnazeekea nyumbani na kushinda kupishana kwa waganga wa kienyeji eti kwa nini hampati waume, kwa haya mawazo mtagongwa sana kisha kutupwa kama kondom.
 
I think c wote, binafs nikimpenda MTU siangalii ana nn ila Ni just nimemkubali moyon mwangu. Na hata ikitokea Nina shda ya pesa, nikimwambia akawa hana natulia tuliiiii coz najua maisha hubadilika na c kila cku atakua na kila kitu ninachohtaj.
Jaman, tucfanye mapenz kama biashara.!!!!
 
Wewe unavyopanga mkakati wa kumnasa, yeye anapanga makakati kwa kuzinasa. We unafikiri unapomuendea kwa lengo la kumtumia yeye anakua anawaza nini?

Mahusiano ya kweli na ya muda mrefu yanaendewa kimkakati. Hukurupuki tu kumtangazia mtu mahusiano. Na kwa kuwa hukurupuki, naye hatakukurupukia.

Matunzo kwa mwanamke ni muhimu vijana, Mwanamke ni recepients sio wa nanii tu, but your love and care... care ndio hio kukidhi mahitaji yake yote yalio ndani ya uwezo wako. If you are not ready, Dont approach them (full stop) sio kuja kulalamika lalamika kama watoto humu. Be a man and carry yourself.
 
Ndo sababu mnazeekea nyumbani na kushinda kupishana kwa waganga wa kienyeji eti kwa nini hampati waume, kwa haya mawazo mtagongwa sana kisha kutupwa kama kondom.
Acha kujidanganya....watu wanahonga na pete wanavalisha....
 
Wewe unavyopanga mkakati wa kumnasa, yeye anapanga makakati kwa kuzinasa. We unafikiri unapomuendea kwa lengo la kumtumia yeye anakua anawaza nini?

Mahusiano ya kweli na ya muda mrefu yanaendewa kimkakati. Hukurupuki tu kumtangazia mtu mahusiano. Na kwa kuwa hukurupuki, naye hatakukurupukia.

Matunzo kwa mwanamke ni muhimu vijana, Mwanamke ni recepients sio wa nanii tu, but your love and care... care ndio hio kukidhi mahitaji yake yote yalio ndani ya uwezo wako. If you are not ready, Dont approach them (full stop) sio kuja kulalamika lalamika kama watoto humu. Be a man and carry yourself.
Nimekupenda bure
 
Kakuomba laki na we omba mzigo?? Mkuu iyo ni prostitution na sizani kama unaweza kuijustify kwa kusema kwamba ni sawa kwa sababu kuna mtu anafaidika na iyo ankara.

Siamini kwamba mwanamke yeyote mwenye self esteem anaweza kujiprostitute ili aende mbele, and don't get me wrong, I am all for relationships that adds value in ones life, hivi unaonaje mwanamke akidate na wewe akajifunza kuhusu kusave, kuwekeza, akakua kiroho na kumtumikia Mungu, akajifunza health living and so on coz the list is endless. Sasa mambo ya kumpa laki 2 au 5 na yote inaishia kwenye spending then anarudi kwako huoni kama unamfanya yeye kuwa mtumwa wako na akishakuwa ivyo hana tena mamlaka na mwili wake.

If women really want to be empowered, they have have to change their thinking.
 
Wajanja tunarekebisha maisha. yakiwa poa wadada wanakuja wenyewe, tunapiga halafu tunakomaa. akiondoka anakuja mwingine. fedha zinakuwepo tu kama chambo. akizitamani anagongwa halafu hazipati.
 
Money is not everything..but everything needs money
Somethings don't need money. Like the air you are breathing. So not everything needs money.

But money is everything. Once you have money you are everything.
 
Wewe unavyopanga mkakati wa kumnasa, yeye anapanga makakati kwa kuzinasa. We unafikiri unapomuendea kwa lengo la kumtumia yeye anakua anawaza nini?

Mahusiano ya kweli na ya muda mrefu yanaendewa kimkakati. Hukurupuki tu kumtangazia mtu mahusiano. Na kwa kuwa hukurupuki, naye hatakukurupukia.

Matunzo kwa mwanamke ni muhimu vijana, Mwanamke ni recepients sio wa nanii tu, but your love and care... care ndio hio kukidhi mahitaji yake yote yalio ndani ya uwezo wako. If you are not ready, Dont approach them (full stop) sio kuja kulalamika lalamika kama watoto humu. Be a man and carry yourself.
Mkuu mwanaume yoyote kama hana michepuko akishajua tu anapendwa atatoa mpaka sumuni ya mwisho. Lakini akijua tu weww ni tapeli ha ha ha sahau. Hawa wenzetu sio binadamu siku hizi. Pesa inatoka yenyewe kwa mtu unaye mpendw. Kama unanya kazi automatically utaona kwenye budget yako ya mwezi ushe mtengea chake ila tu usimwambie maana akijua ata dai mapema
 
Back
Top Bottom