Mahawara wanasana Guest house

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
Mke na mme wamenasana jana wakifanya mapenzi guest house mjini Tunduma jana saa 8 mchana. Mahawahara hao kila mmoja ana ndoa yake juhudi zilifanyika kuwakimbiza hospt Mbozi mpaka sasa bado wameng'ang'aniana wenzetu wamassai wanasema imemesa mwenzie. Haijaeleweka nani aliyetega sumaku hiyo.Naendelea kufuatilia kila hatua nitawajuza.

Updates
=========================================
Bado wapo hospitali Vwawa madaktari wanashindwa kuwanasua maana aidha wakate uume wa mwanaume ambapo itamghalimu maisha yake kukata uke nao imeshindikana wanamtafuta aliye fanya sayansi hiyo.
Walikuwa wanaburudika kwa style ya kifo cha mende.
Walikuwa Guest moja inaitwa Kampala ipo karibu na Tanesco pale Tunduma
 
Iwe ni fundisho kwao na wengine wenye tabia ya kuiba wake/waume wa wenzao.
 
Mke na mme wamenasana jana wakifanya mapenzi guest house mjini Tunduma jana saa 8 mchana. Mahawahara hao kila mmoja ana ndoa yake juhudi zilifanyika kuwakimbiza hospt Mbozi mpaka sasa bado wameng'ang'aniana wenzetu wamassai wanasema imemesa mwenzie. Haijaeleweka nani aliyetega sumaku hiyo.Naendelea kufuatilia kila hatua nitawajuza.
du mkuu upo? long time no c???
 
Mkuu fanya harakati upate contacts za mweza wa huyo aliyemtega mwenzake ili nasisi tumtafute huyo mganga atuzindikia na nimtafutie dili maana huku wake za watu navyowaona wanavyofanya ni soooo!!
 
Hii kali uke umemesa uume jumla hautaki kuachia. Wamenasana kama mbwa wanavyo nasana
 
Mkuu fanya harakati upate contacts za mweza wa huyo aliyemtega mwenzake ili nasisi tumtafute huyo mganga atuzindikia na nimtafutie dili maana huku wake za watu navyowaona wanavyofanya ni soooo!!

Hahahaha mkuu ishu ni kwamba mwanaume mwenye mke hapatikani na mke wa jamaa amekataa kuwa hakuweka sumaku kwa mmewe hapa ni juhudi kumtafuta mme wa huyo mwanamke aje ategue
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom