Ukiona umefika miaka ya thelathini haujaoa/kuolewa, jifanyie assesment mwenyewe

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,326
Habari za jioni wadau.

Wadau kama heading inavyosema. Hii inawahusu watu wazima wanaojitambua. Mashoga, Vicheche, Wasagaji, Unsound mind, Haiwahusu.

Ukiona umefika 30 na hujaoa wala kuolewa na huna mpango wa kuoa au kuolewa siku moja anza kujiangalia mara mbili.

Usiku mwema wote

Jiwe limerushwa gizani hilo ukisikia yalaaah ujue limempata mtu.
 
habari za jion wadau.

wadau kama heading inavyosema. hii inawahusu watu wazima wanaojitambua. mashoga, vicheche, wasagaji, unsound mind, haiwahusu.

ukiona umefika 30 na hujaoa wala kuolewa. na una mpango wa kuoa au kuolewa siku moja anza kujiangalia mara mbili.. usiku mwema wote

jiwe limerushwa gizani hilo ukisikia yalaaah ujue limempata mtu.

sasa wewe kinakuuma nini?
 
ivi mtu humlishi wala akuombi chochote kuna aja ya kukeleketwa juu yako? pilipili usokula yakuwashia nn??
 
si kuoa tuu wkt hata kutunza familia hujui. pia si kuolewa mapema wkt hata kufua .... vizuri hujui

Hizi mada za waliovurugwa na maisha wanataka kulazimisha kuvuruga na wengine.

Kama maisha yamekushinda achana nayo.
 
quote-posters_15684-0.png
Its-time-for-you-to-live.png
 
Back
Top Bottom