Shost niliyesoma nae six form tumekutana mjini miezi michache, baada ya A-level yeye hakuendelea na shule tena, ameajiriwa kwenye taasisi Fulani. Maisha yake ya kawaida anasukuma gurudumu...
Kwanza alisema ile simu uliyonipa kipindi kile nimeuza, nikamtafutia simu nyingine. Baada ya mwezi nikamuona na ile simu aliyosema kauza. Nikamwambia vipi mbona unayo? Anajichekesha.
La pili...
Baada ya kumaliza chuo, akaajiriwa kwenye shirika moja la umma miaka kadhaa iliyipota na hajaoa. Siku moja alipokuwa akitoka kazini akaona foleni imezidi barabarani hivyo akaamua kupumzika kwenye...
Hali wazee,
Kuna rafiki yangu amekutwa na kisanga kigumu sana. hivi karibuni amemfumania mke wake na akapewa taarifa kwamba njemba inamjengea mke wake nyumba mbezi mwisho.
Jamaa akaenda kuongea...
Jamaa kakutwa na mkewe anatoka Guest house na mwanamke mwingine, baada ya ugomvi na purukushani mwanaume amekataa katakata kuwa hajafanya kitu na yule mwanamke kule Guest (coz kwa maelezo hake...
Utaratibu wa wanaume katika hili jukwaa kuwasifia /kuonyesha jinsi tunawapenda wake zetu nadra kutokana na sisi wanaume kuwa na mipango ya kando mingi.
Leo nimeona niwaambie nanyi mjue kuwa...
“Strength and dignity are her clothing, and she smiles at the future. She opens her mouth in wisdom, and the teaching of kindness is on her tongue,” Proverbs 31:25. Dear son, Can you imagine what...
Mimi nikiajana na umri wa miaka 28 - 33 jinsia ni mume.
Ni maji ya kunde mrefu wa wastani.
Ni mwanaume wa dar es salaam kama ulivomsemo wenu naishi dar
Nina kazi yangu inayoniingizia kipato cha...
Ladies and gentlemen?
I'm with profound joy indeed taking this wonderful chance inviting you all in my wedding day.
The wedding service will take place at St. Joseph church at 13.30 on 23. April...
Nianze kwa kusema kuwa jinsia ambayo imebalikiwa kwa miujiza ni ya kike yaani hawa karibia kila siku wanapata miujiza
Mwanamke analipwa 150,000/=
amepanga chumba cha 100,000/=
ana hand bag 5...
Wasalamu ndugu zangu,
Wanajamiiforum wenzangu naomba mnisaidie katika hili la uvaaji wa chupi za bikini.
Ukweli niliwai kusikia hapo nyuma kupitia maneno ya watu; walipata kusema,"wanawake...
Kutongozana ni raha sana lakini raha imezidi pale nilipoambiwa na msichana niliyemtongoza alipokubali tumeendelea kuwa na mahusiano mazuri tu, sasa leo kaniambia eti mimi ni handsome lakini mimi...
Hivi umeWahi kujiuliza kabla ya kufanya mapenzi wanamapenzi wanapenda kuvuana ngo lakini baada ya mapenzi kila mtu anavaa nguo zake tatizo ni (1) Ni HAMU ZIMEWAISHA (2)AIBU IMEWAISHA (3)SHETAN...
1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana!
2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE)...
Habari wapendwa......
Hakuna ubishi kuwa Dar es salaam ni chem chem ya wasichana wazuri na warembo wa kila idara....
Ukikatiza mitaa ya mliman city, maeneo ya quality centre bila kusahau maeneo...
Wadau natumai hamjambo
Mm ni mwajiriwa, ni baba wa watoto wawili na mke mmoja, mke wangu amejiajiri mwenyewe ana saloon na ana biashara ya chakula ya medium scale na biashara zingine flan flan...
Eti wanajamvi, wadau na wale wote wapambanaji wa maisha,
Hawa dada zetu wanaoolewa na wazee wa kizungu je, ni kweli wanawapenda hao wazungu kwa dhati au ndio hivyo tena wanafata maisha mazuri tu...
Habari zenu wakuu.
Poleni na majukumu na mihangaiko ya maisha ya kila siku.
Nina mpenzi wangu ambaye tulianza mahusiano yetu tangu mwaka jana.
mara nyingi amekua akiniomba nizae nae (anizalie)...
wanaume wengi tumekuwa tukilalamika madem siku hizi wanapenda pesa but tunavyowafanyia hamna namna coz utakuta dem hupigi pombe afu unakuta mwanaume ni mlevi anapiga konyagi, mirungi, ugoro, alafu...
Ndugu wana MMU habari za mida hii.
Katika jamii yetu na hata humu mmu kuna jambo ambalo ambalo nimegundu linajitokeza mara kwa mara na kujirudiarudia.
Kama msichana amefanya mahusiano na mwanamme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.