wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,291
Kwanza alisema ile simu uliyonipa kipindi kile nimeuza, nikamtafutia simu nyingine. Baada ya mwezi nikamuona na ile simu aliyosema kauza. Nikamwambia vipi mbona unayo? Anajichekesha.
La pili wakati nipo likizo nikaondoka gheto(chumba cha kupanga), sio mbali na home ni hapahapa town. Akanibeep nikampigia simu akasema anaumwa mbavu hawezi kupata oxygen vizuri nikamwambia pole lakini vumilia usiku huu kesho nitakuja kwenu nitakupeleke hospitali, akasema sawa.
Kesho asubuhi nikatoka home kwa wazee nikaenda mpaka kwao nikamwambia hey wangu nimeshafika kwenu vipi njoo basi twende hospitali. Khee! Cha ajabu mwezangu anaanza kuleta blaa blaa hoo mara mie nakunywa chai. Nikamuuliza hiyo chai saa tano?
Mwisho kabisa akawa hapokei simu.Nikanyoosha mikono juu kushukuru mungu kwa kunisimamia, baadae nikamfungikia lakini sikumtukana.