Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,776
Shost niliyesoma nae six form tumekutana mjini miezi michache, baada ya A-level yeye hakuendelea na shule tena, ameajiriwa kwenye taasisi Fulani. Maisha yake ya kawaida anasukuma gurudumu. Darasani kulikuwa na kijana mmoja alikuwa na miakili dizain wale wapenda kitabuu. Nimekutana na shost ananipa za masiku tele ndiyo aniambia amezaa na yule jamaa ambae ni engineer kwenye shirika moja kubwa mjini.
Ananieleza kwenye umri wa 30+ akiwa hana mtoto wala ndoa, alikutana na jamaa mjini, walianza kubadilishana namba za simu katika kuongea sijui walianza vipi lakini waligegedana ili tu dada apate mtoto. Kaka akiwa kwenye ndoa yake mke na mabinti wawili.
Mdada kupata mimba amejifungua baby boy. Tatizo ni kama huyu dada anataka kuvunja ndoa ya watu, ameshajua jamaa amechanganyikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa haishi kupiga simu aki-demand mahitaji ya mtoto.
My take, yeye alikuwa na shida ya mtoto, amlee mwanae asisumbue nyumba ya watu.