Habarini wadau wangu,
Binafsi siko poa sana, na hata hapa nimejitahidi tu kuandika ila ki ukweli moody ya kuingia huku kwenye Social media imepungua kidogo. Sababu ni kua mimi nilijiaminisha sana...
Asalaam Aleikum!
Bwana Yesu asifiwe!
Nilimpenda sana kaka mmoja aliyekuwa mwalimu wangu, kumbe na yeye kwa wakati huo alikuwa ananipenda ila hakutaka kuniambia. Tuliheshimiana sana pia...
Niko kwenye mahusiano na mtu Kwa muda wa miaka 5 sasa. Mwanzoni aliniambia hajaoa na alikuwa anaishi hotel Kwa Sababu alihamishiwa mkoa nilipo Kikazi akitokea mikoa ya kanda ya ziwa.
Sana Sana...
BUSARA KWA WANAWAKE. YAFUATE HAYA MAHUSIANO YAKO YADUMU.
1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima na uthubutu...
Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu.
Sasa...
Salamu kwenu nyote!
Moja kwa moja kwenye mada,licha ya kujibana matumizi ili kuhakikisha huyu sukari wa moyo wangu anang'aa na kutimiza mahitaji yake alipokuwa huku mkoani hatimaye kaamua kutoa ya...
Peoplezzzzz
Nauliza tanzania inaruhusu ndoa za mkataba yaani mnaweka makubaliano pande mbili na mnasaini kwamba hii ndoa ni miaka miwili au mmoja?
Na pale mkataba ukiisha mnarudi mezani tena...
‘Botellón’ is a group of people who meet in a public area to socialize and consume alcohol. The people buy the alcohol from local stores as a cheap alternative to an expensive night out. The...
UPUMBAVU WA BAADHI YA WANAUME.
Mwanaume anaamini anapendwa na
mwanamke, tayari anamuona fala fulani,
matokeo yake anaanza kuleta dharau.
Japokuwa mwanaume ana makosa,
mwanamke anaomba msamaha...
Kama wasemavyo wahenga kuwa "mapenzi hayana shujaa", mwenzenu yamenipata. Kuna dada mmoja mnyarwanda tunasoma nae chuo kimoja, yeye first year mimi third year.
Mimi ni miongoni mwa marafiki zake...
Habari wadau..
Nimeona niweke hapa labda kuna mwenye uzoefu na hawa mabinti basi atatoa maoni yake.
Huyu Binti nilikutana nae kupitia binamu yake, kweli alikuwa ni mzuri hasa na rangi yake ya...
Hi jf naomba kuuliza hivi kama MTU mlishaachana kwa sbabu kataka yeye koz eti mko mbali na wakati hakujua kazi na wasifu wako katika jamii afu baada ya kama miaka miwili akajua upon university na...
Kwa mujibu wa utafiti wangu nilioufanyia kwenye eneo langu la kazi na kwa majirani zangu nimebaini kwamba, kati ya wafanyakazi watano niliofuatilia nyendo zao, ni wawili ambao walikuwa na...
Mke wa ndoa wa kaka yangu anamiliki kampuni kwa siri na mume wa mtu.Kaka amelifahamu hilo baada ya kampuni hiyo kushinda tenda ya ugavi kwenye taasisi moja ya Serikali.
Kaka kafahamu juu ya...
Wadau nawasalimu
Hivi ninavyowaandikia nipo home nina ED ya siku 4, nimepigwa vibaya na watu nisiowafahamu baada ya kunishutumu kutembea na mke wao
Ni hivi
Kuna msichana tumefahamiana kama...
Wapendwa Wana JF,
Nimekuwa katika uhusiano na dada mmoja mzuri sana, na kulingana na nilivyo mtathimini anaonekana ni wife material, I admit to say that from my heart. Tatizo lililopo ni kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.