Hii kweli inawezekana?

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,559
12,324
Jamaa kakutwa na mkewe anatoka Guest house na mwanamke mwingine, baada ya ugomvi na purukushani mwanaume amekataa katakata kuwa hajafanya kitu na yule mwanamke kule Guest (coz kwa maelezo hake alimpelekea mshikaji wake apige mambo yule demu ila yule mshikaji hakutokea ), sasa mke akamwambia kama kweli hakufanya kitu basi amnuse ili ya yeye ajiridhishe :eek:
Hivi kweli hii inawezekana kweli unabaki na kaharufu kama umetoka kugegeda kweli? au ni njia tu ya kumkamata mtu mwenye roho nyepesi ya uoga?

Ila yule mume alikataa kunuswa :D ndipo alipokamatika
 
Hiyo ndio dawa pekee, KUKATAA KATA KATA. Ni bora topic iishie " umefanya, sijafanya". Lakini ikibadilika kuwa " umefanya, ndio"; Mungu wangu, moto wake hauzimiki milele hata ikiwa mwanaume ataomba msamaha kwa machozi ya damu.
 
Teh...teehh....teeehh...
 
Jamaa kakutwa na mkewe anatoka Guest house na mwanamke mwingine, baada ya ugomvi na purukushani mwanaume amekataa katakata kuwa hajafanya kitu na yule mwanamke kule Guest (coz kwa maelezo hake alimpelekea mshikaji wake apige mambo yule demu ila yule mshikaji hakutokea ), sasa mke akamwambia kama kweli hakufanya kitu basi amnuse ili ya yeye ajiridhishe :eek:
Hivi kweli hii inawezekana kweli unabaki na kaharufu kama umetoka kugegeda kweli? au ni njia tu ya kumkamata mtu mwenye roho nyepesi ya uoga?

Ila yule mume alikataa kunuswa :D ndipo alipokamatika

Usihofu, we jaribu tu ili upate ukweli ukija uliza hapa utadanganywa na kuchanganywa bure. Vipi, unamuogopa mkeo nini, usiwe muoga kihivyo ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom