Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Umri miaka 20 hadi 30 Sura yoyote Umbo lolote Mbinti au mtaraka/mjane Elimu : Ajue kusoma na kuandika hadi çhuo kikuu Awe na nidhamu Msafi na kujipenda Dini yoyote Asiwe na magonjwa ya kuambukiza...
2 Reactions
0 Replies
870 Views
Toka nimeingia mtaani kwa kweli kina dada na kina mama ni wengi kuliko sisi wanaume. Huko mashambani nimekutana na wanawake mahali huwezi zania..ni wapambanaji. Kuanzia ijumaa mpaka jumapili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni ijumaa jioni jua likiwa linazama na miale yake kuanza kufifia kwenye jiji la Arusha. Natoa leso mfukoni na kisha kujifuta jasho baada ya kutembea umbali mrefu stendi kuelekea pango langu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi JF, I salute all beautiful, charming, God-fearing, and understanding ladies in the name of Love! As my nickname stipulates, Am David, 28years of age, light in skin complexion, moderate...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wandugu Kuna siku nilikuwa kwenye gari na kaka yangu mwenye umri wa miaka 38,sasa kuna mtaa tukikuwa tunapita katika hiyo mizunguko yetu sasa kwa mbali tukamuona binti wa kidato kama...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Umri miaka 25 hadi 28 Elimu Digrii ya kwanza au ya pili Awe mjasiriamali au mwajiriwa Awe mkazi wa dar Awe na upendo wa dhati. Asiwe na mtoto. Awe na afya njema awe amepima ukimwi na magonjwa ya...
0 Reactions
4 Replies
932 Views
Habari, Nami leo nimeamua kujitokeza jamvini kutafuta mume ambae atakuwa wangu wa maisha naamini nitampata kupitia jukwaa hili. Mimi ni binti mwenye miaka 28 muislam natafuta mume lakini awe na...
4 Reactions
50 Replies
8K Views
Hi guys, natafuta mume awe HIV+ Umri kati ya 30-35,awe anafanya kazi,na awe serious na maisha binafsi mm nina umri wa miaka 27, ni H I V + ni mwajiriwa wa serikali nipo Kilimanjaro,kwa m2 alie...
6 Reactions
78 Replies
13K Views
Mi mwanamke pia natafuta wa kubadilishana mawazo haswa za kibiashara,kikazi na changamoto mbalimbali za kimaisha mkoa wowote,nchi yoyote.Kuchat na kushare mambo mbalimbali na kupeana michongo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Wana JF, Mimi nina miaka 34 na watoto wawili, niliachana na mme wangu huu ni mwaka wa nne sasa, ila hadi sasa sijapata mtu mwingine hasa wa kuaminika wote ninao wapata naona wadanganyifu...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Sabakher Wadau; Kiukwel Nipo Katika Wakati Mgumu Kutokana Na Matendo Ya Rafik Yangu Na Mai Waifu!! Jamaa Ana Gari Na Mara Nying Huwa Anatubeba Mim Na Wife Kwan Tunafanya Kaz Hospital Moja!! Sasa...
1 Reactions
209 Replies
18K Views
Holla,Mambos? Naitwa Sean, miaka 30, mfanyakazi(muajiriwa). Napenda kusafiri, kuogelea, muziki, kuwa na furaha na vingine vingi(vizuri). Kama unapenda kuwa rafiki, kubadikishana uzoefu na vingine...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni binti nina miaka kati 24 hadi 27 yani hapa kati.Nina sababu maalumu za kutokutaja miaka kamili najitegemea, ni mweusi maji ya kunde, nimekuja hapa natafuta mwenza wa maisha, aliye tayari...
2 Reactions
76 Replies
5K Views
Huu wimbo, enzi hizo ulikuwa unaongeza sana kasi ya mahusiano? Uko wapi Ray C, niambie nipajue?
2 Reactions
5 Replies
8K Views
WANAUME TUSHIRIKI KATIKA SALA HII YA KUWAOMBEA WANAWAKE ... 1. Atakua na simu yake mpo nyumbani dakika hiyo anakwambia umbip hajui kaiweka wapi. - Tuhurumie Baba 2. Ana Nguo zimejaa makabati...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadada wanaoniuliza Lodge umeifahamje, Lodge wenzangu huwa mnajibuje na Wadada weka majibu mnajibiwaje ?
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau, mi ni mshamba kidogo wa maeneo ya kudatia. Hapa nina miadi na mtoto wa kishua, amenambia nimtoe out tukapige story ila sasa sijui nitampeleka wapi? Mtoto anarudi kutoka ma mtoni week...
0 Reactions
103 Replies
9K Views
Hello everyone A man who seriously wants a wife pls pm me so that we can start the journey. I am a lady of 26 years Born again Christian Sukuma from Mwanza Secondary school teacher Currently...
8 Reactions
136 Replies
14K Views
habari ya leo ndugu, naombeni kujuzwa jinsi ya kupeleka barua ya posa kwa wanyaturu. nitazamia wikii hii kuenda kuomba idhini ya kumuoa dada mmoja, niliambiwa nilazima niende na barua kwa...
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Za jioni wapendwa,natumaini nyote mko poa,kuna swali huwa najiuliza kwani unapoachana au mahusiano kuvunjika mwanamke anakuwa na shutuma na matusi makubwa kwa mwanaume aliye achana nae,ili hali...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Back
Top Bottom