Natafuta mchumba anaejitambua na kuijelewa nataka niuage upweke

Hunteroflove

Senior Member
Sep 18, 2014
126
92
Mimi nikiajana na umri wa miaka 28 - 33 jinsia ni mume.

Ni maji ya kunde mrefu wa wastani.

Ni mwanaume wa dar es salaam kama ulivomsemo wenu naishi dar

Nina kazi yangu inayoniingizia kipato cha wastani tuu.

SIFA NINAZOTAKA KWA NINAE MTAFUTA.

Asiwe mweusi na maanisha awe maji ya kunde au mweupe kabisa.

Awe mrefu asiwe mfupi kama Miss chaga.

Awe anaishi Dar akiwa mtu pwani Tanga,Lindi,Zanzibar,Mtwara,Kilwa au Mafya itakuwa poa zaidi.

Awe muislamu akiwa na elimu ya dunia itakuwa vyema kabisa maana atakuwa na maadili

Awe tayari kupima ngoma.

Umri kuanzia 23 - 30 unakaribishwa zaidi ya hapo usisogee pm

KARIBUNI NA SIKU NJEMA WADADA MNAKARIBISHWA
 
Kila la kheri mkuu

Badilisha hiyo avatar mkuu, kwa saikolojia, watu hudhani avatar uliyoiweka inafanana na wewe au inaendana na wewe kwa mwonekano au character, sasa huu ukauzu mtoto gani ataukubali?

247651.jpg
 
Badilisha hiyo avatar mkuu, kwa saikolojia, watu hudhani avatar uliyoiweka inafanana na wewe au inaendana na wewe kwa mwonekano au character, sasa huu ukauzu mtoto gani ataukubali?

247651.jpg

Mkuu avatar isikutishe kabisa mm ni mtu makini
 
Duh tangu Jmosi bado hujapata wachangiaji wa kutosha? Naona masharti yamekuwa makali mno. Labda ongezea na kufunika uso ndo watakuja maana umelegeza kwenye mtizamo wa dini. Good luck. Ila hiyo avatar ukimpata nipm.
 
Ukipata hata mie nitaweka tangazo vile sifa ulizonazo hata mie ninazo zinafanana ila sifa mke naona zinatofautiana mie nina hitaji wife critical mind anaejua kujenga hoja pamoja na hizo zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom