Hali wazee,
Kuna rafiki yangu amekutwa na kisanga kigumu sana. hivi karibuni amemfumania mke wake na akapewa taarifa kwamba njemba inamjengea mke wake nyumba mbezi mwisho.
Jamaa akaenda kuongea na Baba mkwe kumshitakia so that asilaumiwe kwa yaliyo mkuta. Kufika kwa baba mkwe baada ya kutoa habari. Mzee akacheka sana akamuuliza yaani siku zote hujafaham kwamba huyo mke wako sio mtoto wangu? ..... mimi na mama yake tulikuwa na ugomvi mkubwa kuhusu ujauzito wake na miaka maitano baada ya kuzaliwa tulimfanyia vipimo. tulitambua sio mtoto wangu...baada ya mvutano na kwakua biashara zangu na vitu vyangu kisheria vilitakiwa tugawane kama tutaachana...nikaamua kuishi maisha ya utengano tangu akiwa miaka takriban sita....ndiyo maana hajawahi kukuleta kwangu tangu ndoa yenu... so subiri mama yake umshitakie...but nakushauri kuwa makini.
Pia akathibitisha kwamba msimamizi wa ujenzi ni mama yake na huwa mara kwa mara anakuwa huko na hivi sasa ameenda na mafundi kupima madirisha kwa ajili ya kuchongea alminium...
kaniomba ushauri nimemwambia bora ajitoe kwani huenda yakatokea makubwa zaidi...but mapenzi kama utumwa....hasikiiii .