Wedding invitation

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Ladies and gentlemen?

I'm with profound joy indeed taking this wonderful chance inviting you all in my wedding day.

The wedding service will take place at St. Joseph church at 13.30 on 23. April 2016 followed by wedding part which will take place the same day at Delux Hall from 19:00.

Regarding you my fellow jf members I have set apart twenty invitation cards for you especially those who don't believe that is going to happen.

Interested members can send me private messages for the collection of their cards, All cards are double so you can come with your partners.

Thank you in advance.
 
Mkuuu umeenda kufukunyuaaa hahaha.. Hadi umeleta uzi huo... Nimejikuta nacheka sanaaa

Ee bana, sikuona mrejesho wa hili swala ndiyo maana nauliza.

JF tumehusishwa kwenye hili tokea kwenye kutafuta mpaka kwenye harusi, lazima tuwe na uhakika kwamba kila kitu kiko on set na siyo disappointment.
 
images.jpg

:D:D:D
 
Sure mkuuu..... Ndo hivo.. Jamaa anachukua jiko ambalo hajawahi kuligegeda... Hii sio nzuri sanaa lakini inapendeza..
21th century yanatokea haya, i didn't espect... Huyu mwanamke kajitahidi KUVUMILIA... Lakini katika uvumulivu wake amekuwa na maswali kibao Kuhusu jamaaa ake.. Aaarrggh it's non of our Business, hacha aingie kwenye ndoa ataleta marejesho
 
Harusi za soda watahudhuria ndugu zako na watumishi wako tu kama umewaajiri! By the way, nakutakia experience mpya ya maisha maana ndo unaanza episode mpya!
 
Sure mkuuu..... Ndo hivo.. Jamaa anachukua jiko ambalo hajawahi kuligegeda... Hii sio nzuri sanaa lakini inapendeza..
21th century yanatokea haya, i didn't espect... Huyu mwanamke kajitahidi KUVUMILIA... Lakini katika uvumulivu wake amekuwa na maswali kibao Kuhusu jamaaa ake.. Aaarrggh it's non of our Business, hacha aingie kwenye ndoa ataleta marejesho
Sometimes we have to have faith, that is why I have decided to enter without test..
If he won't work I will soon divorce him.
 
Back
Top Bottom