Sikwambii jinsi ya kuwa mama wa kiafrika, kwani tayari wewe ni mama tena Mwafrika
Sikwambii jinsi ya kulea mwanao, kwani kila mtoto ni unique
Sikwambii jinsi ya kutunza nyumba yako, kwani sijui...
Za asubuhi?, hope mko poa kabisa.
Straight to the point, kuna msichana mmoja nilitumia miaka mitano tokea anikubalie mpaka nimkamatilie chini,mwingine ilikuwa siku moja baada ya kunikubali lakini...
Leo nina jambo moja tu nataka kujua kutoka kwa wanaume, wanaume wengi kwanini mkiwa katika mahusiano na mpenzi, mchumba au mtu ambaye una mahusiano nae hampendi kueleza ukweli wenu juu ya maisha...
Ukiwa na genye ukiaproch mpenzio huwa na hamu sana hata kuingia Lodge huingia bila aibu mkifika rum 6 kwa 6 huwa na mbwembwe kamvua mwanamke mpaka pichu ila ukishagegeda tuu ukitoa wazungu hamu...
Habari wana JF
Leo asubuhi kimenitokea kitu kilichonipa maswali mengi sana kwa sababu sijawahi kutokewa na kitu kama hiki.
Mimi ninaishi peke yangu kwenye nyumba hizi za kupanga, na kabla...
Naomba kufahamu tafasiri ya kuacha simu ikiita hadi ikatike yenyewe.
Kuna jamaa yangu alikuwa na mpenzi wake katika kikao. Simu ya mpenzi wake ikaita, jamaa waliokuwa nao wakamtonya mpenzi wa...
Habari wapendwa wa MMU,
Mimi ni msomaji mzuri sana wa JF majukwaa yote.
Nimeonelea nijisajili ili nami niweze kutoa yangu ya moyoni. Kwa kifupi tu mimi ni mwanamke, mwaka huu natimiza miaka 33...
Habari za muda huu marafiki ndugu na jamaa....ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima wa afya tele na wale ambao afya zao zina mishkeli...basi muumba awajaalie mupate afya njema ili tuendelee na...
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tumeishi naye muda mrefu.Tatizo la mpenzi wangu ni kuwa msiri na mambo yake anayofanya hapendi kuweka wazi, ninashindwa kuelewa kuwa ni kwanini.
Nakaribisha maoni yenu
J
Habari ndugu wadau? Napenda kuileta mada yenye kichwa husika hapo juu. Siku hizi wazazi wengi wameanza kuwasahau wana wao na kusahau majukumu yao. Hali hii imepelekea kuwafanya watoto walio...
Naishi na mwanamke, tumekaa 3 years hatujajaliwa mtoto. Mwezi wa pili alipata msiba akaenda kwao akiwa kule alinipigia amepata bibi mtaalam wa tiba asili anampa dawa mwez wa 3 tarehe 7 akaniambia...
Ukishiriki na mtu kimapenzi awe mwanandoa au mchepuko tegemea yafuatayo:
1) Kama ana ngekewa utarithi ngekewa yake ndio kitu inaitwa kusafiria nyota ya mwenzako
2)Kama ana gundu mtashare hayo...
Habarini,ngoja niende kwenye mada moja kwa moja.
Mimi nina miaka katikati ya 25 na 30,katika pitapita nikakutana na dada wa miaka 34 na ana mtoto mmoja tukawa tu marafiki,mimi nimepitia mambo...
Habari wanajamvi?
Jamani hivi ni kwanini wanaume tuna mambo ya kuvumisha mambo ya kuzushi? Mtu unaamua tu kuvumisha mambo, kwa mfano mtaani unaweza ukakuta kuna dada au msela anavumishiwa habari...
Mwandishi Kagure Mugo wa Kenya aliwahi kuandika- “Nyumba ndogo, wanawake wa pembeni na ndoa za wake wengi huwasukuma wanawake kufikiria mbinu za kuongeza ubora katika via vyao vya uzazi ili...
Girls hear, from the time they are young, Its as easy to love a rich man as it is to love a poor one and its better to marry a rich man". Well, ladies, I did something different, I married a...
Natafuta binti wa kuoa umri 23 - 27, sibagui dini wala kabila awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, mimi ni mkazi wa Dar na ni mwajiliwa serikalini, umri wangu miaka 29.
Ndioo kama inavyosomeka katika kichwa cha habari.
Aisee kama sio Mchaga usiniPM sitajibu.
Vigezo vingine:
-Awe mkiristu
-Mrefu au wa wastani-kama mfupi usiniPM tafadhali
-Uwe na kazi au...
Habari wana jamvi, Mimi ni msichana wa miaka 28 ,nilijigundua nina maambukizi ya HIV mwaka 2012.. Natafuta mtu ,mwenye hali kama yangu ,ili tuanzishe familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.