Miujiza kila siku mnaipata dada zangu na bado mnaenda kuomba mingine

boyson onlye

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
1,108
1,397
Nianze kwa kusema kuwa jinsia ambayo imebalikiwa kwa miujiza ni ya kike yaani hawa karibia kila siku wanapata miujiza

Mwanamke analipwa 150,000/=
amepanga chumba cha 100,000/=
ana hand bag 5 @50,000/=
ana pacial (car) 4000,000/=
ana iphone 1000,000/=
geto lake ndani limeghalimu 5000,000/=
umri wa ni miaka 24 (24 years old)
na mengineyo mengi alafu bado unaenda kanisani uombewe unataka muujiza, muujiza gani.
 
mkuu hauioni
Vilivyotajwa hapo..nyumba, gari na hata mwili wake unahitaji maintanance kila siku. Pia anapoomba Mungu atende miujiza inawezekana kabisa haombi hela. Anamuomba Mungu ampatie mume, kazi nzuri , mtoto, uponyaji kama ni mgonjwa au ana mgonjwa au kitu kingine tofauti na mtoa mada alivyo waza.
 
Basi kama sisi tuna miujiza mjue sisi ni manabii!! Haya fumba macho tuombe sasa.....!!!
 
Sasa ndugu post yangu na kufa umaskini vina uhusiano wowote

Ningependa kujua ume specialize kweny nn mkuu
 
Back
Top Bottom