Kutongozana ni raha sana lakini raha imezidi pale nilipoambiwa na msichana niliyemtongoza alipokubali tumeendelea kuwa na mahusiano mazuri tu, sasa leo kaniambia eti mimi ni handsome lakini mimi najijua fika na hata wewe ukiniona huwezi kuniweka kwenye group la mahandsome. Mimi ni mwanaume wa kawaida tu.
Sasa wanajamii nisaidieni hivi inawezekana mwanamke akikupenda akuone wewe ni handsome wakatai mahandsome kibao wapo?? Au ni mbinu za kiwiziwizi.
Hili nalishangaa kwa sababu huyu kigolo ni mrembo sana, wanaume wanajigonga sana kwake, ni mwenye mkia mkubwa unaotingishika kama nini sijui, ana katumbo kadogo na nywele original za kuwakawaka. Kwa kweli ukimwona ukiwa mwanaume lazima viungo vikuu vitetereke kidogo.