Ndugu wana MMU habari za mida hii.
Katika jamii yetu na hata humu mmu kuna jambo ambalo ambalo nimegundu linajitokeza mara kwa mara na kujirudiarudia.
Kama msichana amefanya mahusiano na mwanamme na hatimaye wakagegedana kwa kuridhiana na ikitokea kuna mtafaruku na bi dada akaja kuomba ushauri humu basi mengi hujitokeza.
Wanaume utawasikia wakiponda, eeh ndio ukome utavuliwa pichu hadi uishe, unajipendekeza kwa ready made men sasa utaipata. Ooh utaishia kupigwa tu. N.k
Sasa mimi najiuliza kwani aliyevuliwa ni yeye tu au wamevuana wawili hawa? Je aibu ya kuvua pichu anaiona mwanamke tu na je sisi wanaume hatuoni aibu hata kama tumetembea na wanawake wengi??
Naomba tutafakari pamoja, karibuni.