Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari waungwana, Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 23 nipo chuo UDSM mwaka wa pili. Shida niliyonayo nahitaji ushauri wenu. Hapa nilipo nina wanaume wawili tofauti na wote wanataka kuja...
2 Reactions
185 Replies
17K Views
Naamini wazima wote humu, . Samahanini kuwachosha maana ni ndefu kidogo. Ok mm ni kijana na kwasasa niko na girlfriend nampenda sana na kwa sasa imebaki 2 month kujifungua ,sasa mambo yako hapa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii imetokea hapo nchi jirani ya Zambia. Mwanamke amemfumania mumewe akila mambo na hawara. Mwanamke hakukawiza, akawa na maji yake ya moto na kuwamwagia wote ili mume akituliza au kama vipi...
3 Reactions
90 Replies
17K Views
Sabahalkheri waja wenzangu! Natumai nyote mu wazima wa siha tele popote pale mlipo. Sasa bana kuna hiki kitu kiitwacho akili. Kwangu mimi, kitu hiki huwa nakiona ni changamani sana. Lakini kwa...
9 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu kuna mdada kajichanganya sana kwangu nahsi anawinda ndoa tu age yake imesogea sana yuko 35 sasa ana masters ya Accountancy mimi nina mke tayari hilo anajua ila anataka nimuoe kama mke wa...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Wiki tatu hivi zilizopita Nilipokea msg kutoka kwa shem akinisalimia..Sikushangaa sana japo hatukuwahi kuwasiliana kwa simu hata mara moja..Ila nikaona ni kawaida tu...Basi kuanzia siku hiyo...
4 Reactions
55 Replies
7K Views
Hagar wadau, natarajia kufunga ndoa June this year, nilikuwa na mpango kwenda "honeymoon" visiwa vya shelisheli, nasikia kuna usafiri wa boat kutokea Dar, he no kweli, na gharama ikoje? Msaada kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini sana wana Jf aka Gtz, Moja kwa moja kwa mada, Kwa upande wangu kila nikienda kwenye blind date na member wa Jf yani nakuta ni tofauti na expectations zangu, yani wengi wao hawalipi au...
6 Reactions
45 Replies
5K Views
“Nipe talaka yangu, nataka tuachane”. Ni maneno rahisi kutoka kwa mwanamke kuliko mwanamume, tafiti zimebainisha. Utafiti uliofanywa na mwandishi wa Michael Rosenfeld unaonyesha kuwa kwa asilimia...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni mtazamo wangu kuwa "Wanawake wanatabia zinazoshahabiana na wenye siri kubwa sana" Zingatia unapojaribu kumbadilisha tabia mwanamke kuwa mvumikivu na subira maama si kila tabia ya mwanake...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Binti ambaye upo kiwanja hasa DMV area na upo tayari kwa mahusiano mbayo yatazaa ndoa ni pm. Uwe chini ya miaka 30. Mwislamu au upotayari kuingia uislamu. Mambo mengine tutaongea.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi Natafuta rafiki wa kike awe Matured umri kuanzia miaka 50 na kuendelea,aliye serious anipm.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za muda huu marafiki...... Kila mtu anajua kuwa miaka ya hivi karibuni suala la kufunga ndoa limekuwa ni kitendawili ambacho wengi wameshindwa kukitegua...... Kwa kifupi siku hizi ndoa...
10 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa nikisikia neno hili changudoa na kujiuliza nini hasa chanzo cha hawa ndugu kujiingiza na tabia changu aifanyao?wakati mwingine nimekuwa nikijiuliza kuwa hii biashara ni wadada...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Hizi hapa sababu kwanini mwanaume hapaswi kuoa wanawake wafuatao: Polisi wa kike, manesi, wanasheria, watangazaji wa TV na wanasiasa. Inapokuja suala la wake wazuri kuna baadhi ya fani...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Kojo alikwenda masomoni Ughaibuni kwa miaka mitano, alihitimu kama mhandisi, baada ya kurudi nyumbani aliajiriwa na taasisi ya umma. Baada ya miaka mitano vijana wengi aliowaacha nyumbani...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Helloooo jf member,nawasalimu sana.Napenda kuuliza hivi,unakuta unamuuliza mschana,aisee yule ni mpnz wako ambaye nimekuona naye siku ile au sehemu ile,sasa jibu lake ndo linanishangaza eti hapana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kijana yupo mwaka wa 3 chuo kikuu anasoma na Gfrnd wake chuoni hapo ila Course tofauti..Demu anaish Hostel na jamaa amepanga mtaani, Wanapendana sana na wameweka mikakati ya kuja kuish pamoja...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf.... Mim ni binti mwenye umri chini ya miaka 25 nina mpenzi ambae amenizidi kiumri na pia tupo mikoa tofauti tofauti na wote ni waajiriwa tatizo lililo nileta hapa ni mpenzi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom