Kuwa makini unapotafuta MKE wa kuoa

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Hizi hapa sababu kwanini mwanaume hapaswi kuoa wanawake wafuatao: Polisi wa kike, manesi, wanasheria, watangazaji wa TV na wanasiasa.

Inapokuja suala la wake wazuri kuna baadhi ya fani usifikirie kuchagua mke kutoka huko. Utafiti huu umefanyika na wataalam wa masuala ya ndoa kati ya February 2015 hadi February 2016.
.
——– POLISI WANAWAKE ———
Hawa wana nguvu "power" na mwanaume akisubutu kupandisha sauti atakumbushwa kuwa kuna jela. Kuwadhihiti hawa pengine uwe na madaraka ambayo yatazidi yake. Pia Mara chache huwa nyumbani kumpikia mume. Unapotaka kulala atapokea Simu kuitwa kazini kwa dharura au unapotaka kujiimarisha katika mjini uliopo sasa atapewa uhamisho.

——-MANESI——–
Kazi hii ni ya wito kama ilivyo kwa masista. Muda wote uhudumia wagonjwa walio katika hali mbaya na nzuri. Madhara ya kisaikolojia wanayopata yanawafanya kupoteza maslahi na masuala ya ndani ya chumba "bedroom matters" hii ndio maana wengi ni baridi chumbani.
.
Inaripotiwa manesi wakiwa kazini wanakuwa na urafiki na madaktari hivyo mume anapokuwa jyumbani peoe yake na wao wako na madaktari katika vyumba vya hospitali. Nimeshuhudia baadhi ya manesi kujamiiana na wagonjwa wao. 40% ya manesi hujamiiana na wagonjwa ambao baadhi ni HIV positive.
.
——WANASHERIA———
Wanasheria wana nguvu katika jamii. Ukitaka kupoteza nyumba yako, Mali, watoto na pengine maisha yako yote, basi Oa mwanasheria. Kama mke wako ni mwanaharakati nafasi ya kuwa na maisha yenye mateso ni Kubwa. Jambo la ukweli kuhusu wanasheria ni kuwa wanafahamu sheria vyema na wanaweza kutumia nafasi hiyo kujinufaisha binafsi katika mnaponunua mali kama nyumba n.k au mnapowekeza.
Wanajua kuendesha kesi hivyo Mme anapotaka kupaza sauti au "kumfunza adabu" atakumbushwa kuwa kuna mahakama. Mwanaume ataishi kama mtumwa.

—WATANGAZji WA TV—
Mara nyingi hasa ni warembo sana na kwa vile huonekana kwenye TV Mara kwa Mara basi huvutia wanaume wenye madaraka na pesa. Wanawake wachache sana wanaweza kuepuka kishawishi cha pesa na madaraka "power and money" hata kama ameolewa hivyo nafasi ya kukubali ni karibia 100 %.
Mwanaume maskini atakufa kwa msongo wa mawazo wakati mkewe akichukuliwa na tajiri. Hawa utawamudu kama una pesa na madaraka.
.
——– WANASIASA ——–
Ni vigumu kupata mwanamke mwanasiasa aliye tulia kwa amani katika ndoa yake na kwa uaminifu, ukimpata wa aina hiyo basi ana matatizo.
Wanawake hawa pia ni watunga sheria hivyo ni rahisi kuwarubuni waume zao.

WALIMU WA KIKE: Tafiti zimethibitisha kuwa ni walimu wa kike pekee ndio huwa wake wazuri. Mwanaume ana uhakika wa ndoa nzuri anapooa mwalimu. 90% ya wanaume waliooa walimu wana furaha katika ndoa zao wakati ni 20% pekee ya waliooa polisi, manesi, wanasheria, watangazaji wa TV na wanasiasa huwa na furaha katika ndoa zao.
Usiseme hujaambiwa.
 
Mkuu ingawa sijui population na sample yako ila unayosema yana ukweli ila mkuu ukipenda sehemu hayo yote unayasahau na kujipa moyo majuto baadae pale mwanamke anapokuvuruga na kukimbilia mahakamani mgawane mali, hahaha utajuta kuchagua ila bila kificho walimu ninawapa big up sana wengi ni wife material
 
mh! hapo kwa walimu labda wa miaka ya nyuma. Lakini hawa wa leo wanaogongwa mpaka na na wanafunzi wao nina walakini kidogo. cku hizi walimu wa kike mpaka wanangonoka na maheadmaster ofcn,

sema tu ubahatishe kumpata alietulia
 
mh! hapo kwa walimu labda wa miaka ya nyuma. Lakini hawa wa leo wanaogongwa mpaka na na wanafunzi wao nina walakini kidogo. cku hizi walimu wa kike mpaka wanangonoka na maheadmaster ofcn,

sema tu ubahatishe kumpata alietulia

kwenye kuduu out of ndoa tupo somehow not much.teh!
 
Back
Top Bottom