Wito kwa wanaume

AllyL

Member
Apr 14, 2016
17
6
Ni mtazamo wangu kuwa
"Wanawake wanatabia zinazoshahabiana na wenye siri kubwa sana"
Zingatia unapojaribu kumbadilisha tabia mwanamke kuwa mvumikivu na subira maama si kila tabia ya mwanake inabadilika.Pia kaa ukijua anasiri kubwa katika uhusiano wenu ambao wewe ujui kuhusu yeye na usijtie kujua maana hautaendelea kutojua daima.
 
Bottom line wanawake hawafanani...

kuna wanawake waliopewa malezi mazuri
kuna waliokosa malezi
kuna walioenda shule
kuna ambao shule hawakupita
kuna wenye iq kubwa
kuna wa low iq
kuna wanawake wa kila namna.....
 
Mwanamke akijisikia kupendwa na ww, anakuwa na uwezo extra wa kukutumikia na kukuamini. Mnapokosea ni pale mnapodhani nyie ndio wa kupendwa.

Kubadili tabia ya mwanamke, muonyeshe kumpenda na kumjali. Mengine yooote mtaongezewa
 
hapana mkuu hajanikuta ata nini tu ni mtazamo wangu unaeza kuwa sahihi au si sahihi
 
Mwanamke akijisikia kupendwa na ww, anakuwa na uwezo extra wa kukutumikia na kukuamini. Mnapokosea ni pale mnapodhani nyie ndio wa kupendwa.

Kubadili tabia ya mwanamke, muonyeshe kumpenda na kumjali. Mengine yooote mtaongezewa
nimejifunza kitu kimpya kidogo
 
Mwanamke ni kiumbe asiye na msimamo (si wote) akikupenda aweza kumtusi hata mamaye kama atamzuia (usibweteke) kwani akihamisha pendo kwa mwingine mmmh!!!!.......
 
Kumili hisia za mwanamke asilimia zote wakati wote ni kazi sana... Leo anakupenda kesho anakuchukia... leo anakuhurumia kesho anakukomoa... leo anakupa kesho anakunyima... leo anakusema na kukushushua kesho anakusifia na kukutukuza...

Cha muhimu ukipata muda wa amani nae uutumie vizuri... kwani kesho siyo wako tena.
 
Bottom line wanawake hawafanani...

kuna wanawake waliopewa malezi mazuri
kuna waliokosa malezi
kuna walioenda shule
kuna ambao shule hawakupita
kuna wenye iq kubwa
kuna wa low iq
kuna wanawake wa kila namna.....
Kweli kabisa mkuu wengine hawajui wanataka nini....kila wanachokiona mble wanakitaka hawana vision ya maisha wamebaki kutangatanga tu
 
Kumili hisia za mwanamke asilimia zote wakati wote ni kazi sana... Leo anakupenda kesho anakuchukia... leo anakuhurumia kesho anakukomoa... leo anakupa kesho anakunyima... leo anakusema na kukushushua kesho anakusifia na kukutukuza...

Cha muhimu ukipata muda wa amani nae uutumie vizuri... kwani kesho siyo wako tena.
daah....... aise ni kweli
 
Back
Top Bottom