manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,748
Kijana yupo mwaka wa 3 chuo kikuu anasoma na Gfrnd wake chuoni hapo ila Course tofauti..Demu anaish Hostel na jamaa amepanga mtaani, Wanapendana sana na wameweka mikakati ya kuja kuish pamoja pindi wamalizapo masomo yao, wameshafanya utambulisho ule wa awali kwa wazazi wa pande zote na inaonekana wako na serious relationship...Siku 1 yule jamaa akaambiwa na rafiki yake kuwa asee mchek Shem kwa ukaribu nahisi kuna jamaa anatoka nae maana nilikutana nao kwenye Hotel 1 last weekend akiwa anatoka Hotelin hapo na huyo jamaa yeye hakuniona ila mimi niliwaona na walipoingia kwenye gar baada ya kutoka Hotelin wali-kiss kwa dk kama 1 hivi kabla ya kuondoka..
So mchek..Jamaa akaja muuliza Gfrnd wake..Hivi una malengo gani na mimi kwenye haya maisha,,Demu akasema mpenzi yaani wewe ndiyo Baba watoto wangu mtarajiwa yaani nakupenda mno...Jamaa akamuuliza je hujawahi kunisaliti kwa kuwa na uhusiano nje yangu..Demu akalamba na udongo kwa kiapo kuonyesha nife hapa sijawahi nasintoweza kuwa na mtu mwingine...Sasa yule jamaa kabla hajawa na huyo demu alikua ana-Account fake facebook aliokuwa anatumia kuwa-Enjoy mademu anaowajua tu kuona stability yao na hata demu wake huyo alishamu- add kama frind mda sana so ni marafiki..Kwnye account ile jamaa alichukua pesa za Mfilipino mweusi anaonekana yuko na gari za kutosha Bata batan kila siku..
So iliwafanya wanawake wengi wapenda luxury life kumkubali wakiamini jamaa yuko na cash mbaya...OK..Akaanza kumwaproach demu wake ili tu aone respond yake converstion zikaanza kimtindo jamaa akamwambia demu nipo Philipines ila baada ya wk 1 ntarudi Bongo...Demu akakolea akakubali kuwa jamaa akija amwambie wanaweza onana...Kuanzia hapo ikawa ni mwendo wa Sweet umekula, Umeamkaje, Unafanye, Maswali yale ya kimapenzi na mara mingi demu ndiyo alikuwa akiwa busy sana na jamaa...Maana jamaa alimuuliza demu unataka nikuletee zawadi gan..demu akasema yeyote jamaa akamwambia ntakuleta vito vya dhahabu na pesa cash..So demu akadata sana...
Jamaa alikuwa akifanya hizo chating kwa siri mno na huku roho ikiwa inamuuma sna kwamba kumbe huyu demu siyo..Unakuta wakiwa wote anamuuliza honey unanipenda na hautanisaliti...Demu anaseama I SWEAR TO GOD MIMI NA WEWE TU..Ok ikawa ni ijumaa jamaa akamwambia demu atarudi Bongo jmosi usiku na atafikia Hotel fulan ila ndege itachelewa sana watatua usiku kwa hivyo ajiandae aende hapo Hotel aachukue room kabisa jamaa atamkuta..Demu akasita kidogo kwamba hana pesa na nini za kuchukua chumba..Jamaa akamwambia atumie pesa yake then yeye atakuja mrudishia mara dufu...Ok demu akakubali..
Akatengezeza mchongo na best ake wanayesoma naye wakaja kwa jamaa ake wakamwambia kesho huyu rafiki yangu kuna harus ya ndugu yake ameniomba nimsindikize so ntakuwepo Harusini na tutalala kwa hao ndugu zake..So Jpili tutaonana...Jamaa karibia azimie maana anaona eeeh ndo tayar demu keshakubali kwenda kwa mtu ambaye hata hamjui...Basi ile wameondoka tu hapo jamaa akampromise yule demu kuwa nikija mbali na pesa uliyotumia ntakakupa Milion 1 cash kwa ajili ya mambo yako madogo madogo na maadam utakuwa wangu hutojuta...
Ikawa Jmosi asubuhi demu akawa busy kwenda saloon kutafuta nguo ile nzuri kwenye saa 1 kafika Kwenye ile hoteli kachukua room faster..Akamwambia jamaa nimeshachukua room namba flan..Jamaa kamwambia kama ni kweli ebu jipige picha ukiwa hapo room ya hotel unirushie demu chap.aka kanga 4foto shwaaaa...Akamrushia jamaa,...jamaa kamwambia mpenzi vua nguo ubaki na za ndani then ujipige unirushie dk 1 tu shwaaaaaa...Jamaa akazidi kuwa kichaaa maaana asijue la kufanya....Unajua ni nini jamaa alifanya baada ya hapo? Kabla sijamalizia nini jamaa alifanya nataka wewe uniambie ungefanyaje situation kama hii ikikutokea...(Ni kisa cha kweli kabisa hiki)